Recent content by 6sahau

  1. 6

    Naibu Waziri January Makamba anatembelea Bajaj

    nimetumia dk5 kuiangalia hiyo picha,nahisi huyu jamaa hakukaa hata dk 2 baada ya kupiga picha ya kuhadaa waTZ, lini bajaj ikakimbia bila dereva?
  2. 6

    Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

    hawatafaa wote,kwani watatumia muda mwingi kulipa visasi kw maadui zao
  3. 6

    Ziara za Kinana (Katibu Mkuu wa CCM) Mikoani

    hz ziara haziwezi ibua zomeazomea kweli? ngoja tusubiri
  4. 6

    PICHA: Rais Kikwete awasili Arusha; Viongozi wa dini wampongeza na kumwombea

    mapokezi na malengo ya safari sijui km yana uhusiano,kwa mtindo huu nani anayochanganya siasa na dini? dua zingine sijui km zinafika kwa mungu
  5. 6

    Mtonyaji serikalini; Usalama wa Taifa wampa JK mtihani mzito kuhusu CHADEMA kuelekea 2015

    mikael, umesema jk kaomba muda afikirie kwenye taarifa yako inakuwaje sisi tutoe maoni? ultimatum ni ya jk haina haja ya sisi kumpa mapendekezo tumuache ajichanganye km kawaida yake,uchaguz wowote kati ya hayo matatu ni ajali kwao.KUMBUKA (taarifa na swali lako km umejijibu vile)
  6. 6

    Jamani huyu mwalimu anafanya nini?

    piga kazi bila majungu,watoto wenu wasipofundishw midomo yenu inazalisha maneno kibao,wakifundishw ooooh style haijatulia jali mwanao aelewe akisimamia ulimi poa tu
  7. 6

    Jakaya Kikwete atambua uwepo wa CHADEMA kisiasa

    tz kuwa pamoja sio tatzo,lkn isije ikawa shetani akizeeka anabadilika kuwa malaika ukimwaamini kidogo tu utalia muda mrefu kuliko uliofurahi
  8. 6

    hapendwi mtu...

    du....watajuana wao
  9. 6

    Utoro wa Wah wabunge wetu.

    inatisha mkuu
Back
Top Bottom