Asante sana mkuu.
Tunatumia mbao kutoka mti wa Pine au Cypress
Ndio, tunafanya hiyo kazi; tukachohitaji ni sample ya kitasa ukipendacho nasi tutakiweka..
Tunaweka kulingana na standard measurements za mlango, how; urefu ni 210cm or 240cm (Hii ina vent) na upana wa mlango ni 80cm,90cm na 100cm
So kutindua ukuta? Hapana! Tunafika na kupima size ya mlango wako ili kuweza kupata actual measurements na huwa tunaweka mlango utakapokuwa umemaliza kila...
64Door Tanzania Limited inatoa huduma sanifu, kutengeneza, kusambaza na kufunga milango pamoja na viambatanishi vyake kama urembo na vitasa, vyote sehemu moja na kwa urahisi zaidi. Kiwanda cha 64Door kimeanzishwa ili kukidhi mahitaji ya wateja wetu kuanzia kuagiza na kulipa kwa urahisi hadi...
64Door Tanzania is a subsidiary company of 64Door Factory Ltd based in Kenya. The 64Door Factory manufacturing facility located in Nairobi Kenya is truly state of -the- art door solutions service provider backed by a robust, high-Tech Manufacturing process.
Thus, 64Door Tanzania is a company...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.