Recent content by 5up3rN0v4

  1. 5up3rN0v4

    Tengeneza hadi 50,000/= kwa siku kwa kufanya biashara ya kuuza internet kupitia WiFi kwenye maeneo yenye mkusanyiko

    Msaada wa jina la software unayotumia kutengenezea voucher, au utaratibu wa kuipata
  2. 5up3rN0v4

    Progress ya application ya leseni ya Starlink

    Rostam ndo anacontrol kiasi hicho?
  3. 5up3rN0v4

    Progress ya application ya leseni ya Starlink

    Wakuu, kuna mwenye update kuhusu progress ya Starlink kupata leseni ya kuoperate Tanzania? Nimeapply fiber TTCL ipo meter 50 kutoka nilipo mwezi sasa unakata kila siku napigwa kalenda na kupewa sababu random yan. Starlink ije, washtuke kidogo, sio fair inakuwa kama vile hatuwalipi Wanakera
  4. 5up3rN0v4

    Je, ni wapi naweza kusoma Kozi ya Programming?

    Pamoja hii inatengeneza cross-platform apps kwa android, ios, web, windows, linux, macos na google fuchsia ni rahisi kujifunza kama tayari unajua java au javascript ni rahisi kuiadapt ndani ya wiki chache tu inaandikwa kwa dart ambayo inacompile to platform specific apps.
  5. 5up3rN0v4

    Je, ni wapi naweza kusoma Kozi ya Programming?

    Icheki hii Flutter - Beautiful native apps in record time
Back
Top Bottom