Recent content by 5Sauzande

  1. 5

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mpunga Morogoro

    Maeneo Gani mbeya naweza kupata eneo la kulima mpunga na gharama zake? Msaada please Asante sana Kwa response Yako una Moyo mkuu gunia la mpunga Bei Gani? Kwa sasa mkuu
  2. 5

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mpunga Morogoro

    Maeneo Gani mbeya naweza kupata eneo la kulima mpunga na gharama zake? Msaada please
  3. 5

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mpunga Morogoro

    Maeneo Gani morogoro naweza kupata mbuga Kwa ajili ya kilimo Cha mpunga na gharama yake please Naomba Kwa anayefahamu anisaidie
  4. 5

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji wa mazao

    Leseni ya kusafirisha mazao Leseni ya kusafirisha mazao Ina gharama kiasi au inategemeana na kiwango Cha mazao
  5. 5

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji wa mazao

    Wakuu nauliza vibali maalamu vinavyohitajika kusafirisha mazao kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine ni vip nisaidie hapo
Back
Top Bottom