Recent content by 5991

  1. 5

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Zanzibar Hamad: Anayechonganisha Muungano atakufa na atazikwa kwa chuki hiyo

    Zanzibari hakuna waarabu mtz. Wewee.
  2. 5

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya msongamano wa watu hapa Busisi/Kamanga serikali ya awamu ya 6?

    Kuna kitu mie kinanitatiza sana jamani hivi kwenye utawala wa magufuli iwe ni Busisi au Kamanga, kwa kupitia vivuko hivi hivi tunavyoambiwa havitoshi sasa hivi mbona tulikuwa hatukalishwi kiasi hiki hapa kivukoni jamani, au ni mie tu naona hii shida? Maana sidhani kama tatizo ni wingi wa vivuko...
  3. 5

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi niko katoro nafundisha biology na chemistry nahitaji kuhamia mwanza, iwapo unahitaji kuja katoro Naomba tuwasiliane.
Back
Top Bottom