Recent content by 5520

  1. 5

    JamiiForums Tanzania Ripoti inaeleza kuwa njia ya mafuta ilikatwa kabla ya ajali iliyohusisha Air India

    Sensors ndio maana pilot alimuulizwa mwenzake kabla ndege kuanguka nani alibadilisha switch
  2. 5

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Hezbollah Naim Qassem akiri udhaifu wa Hezbollah!

    Gaidi mkubwa na dhaifu ni Netanyahu ambaye baada ya vita vya siku 12 na Iran amelazimika kuomba poo, hakutarajia kilichomtokea walilazimika kuishi pangoni muda wote kuokoa maisha yao
  3. 5

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Kanali wa Jeshi la Iran amehukumiwa katika mahakama ya kijeshi kwa kosa la kuacha Uislamu na kuwa Mkristo

    Katika biblia sinagogi imetafsiriwa ni msikiti, ndio mana tunasema yesu aliingia msikitini na sio kanisani
  4. 5

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Kanali wa Jeshi la Iran amehukumiwa katika mahakama ya kijeshi kwa kosa la kuacha Uislamu na kuwa Mkristo

    Andika vizuri unataka andiko na mstari kuhusu nini? kipi una mashaka nacho tukupe huo mstari
  5. 5

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Kanali wa Jeshi la Iran amehukumiwa katika mahakama ya kijeshi kwa kosa la kuacha Uislamu na kuwa Mkristo

    Ok, nakubaliana na wewe Yesu ni nabii na alipitia kwenye masinagogi (misikiti ya wayahudi) maandiko yanasema hivyo sina mashaka lakini napata tabu kwenye neno Kristu na wa Wa kristu Yesu hakusema mahali popote watu waitwe Kristu ama Wakristu
  6. 5

    JamiiForums Tanzania Israel yavamia makazi ya Wakristo na kuchoma kila kitu!!

    Unamaanisha nini mkuu, Kanisa nini maana yake?
  7. 5

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Kanali wa Jeshi la Iran amehukumiwa katika mahakama ya kijeshi kwa kosa la kuacha Uislamu na kuwa Mkristo

    Lete hoja usiutukane uislam sio jambo zuri, shida kubwa inakuja unapokuwa na imani tofauti ndani ya jeshi la kiislam usaliti unaweza kuwa karibu mnoo, halafu ni kwamba alivunja sheria kwa mujibu wa katiba yao, ilibidi aache kaz kwa hiari yake yasimkute hayo licha ya kufanya hadaa miaka yote hiyo...
  8. 5

    JamiiForums Tanzania Israel yavamia makazi ya Wakristo na kuchoma kila kitu!!

    Wakiristo whumu jf wanadai mayahudi ni wenzao wa damu
  9. 5

    JamiiForums Tanzania Iran ikiendelea kurutubisha Uranium Israel itamilikishwa ndege ya kimkakati B-2!!

    Mkuu kadri Israel anawezeshwa na mabwana zao marekani kwa kupewa ndege za B-2 ndivyo Iran anavyo nunua ndege 40 CJ-10 kutoka China
  10. 5

    JamiiForums Tanzania Mataifa 4 kukutana punde kikao cha faragha

    Hawana madhara lakini Trump alimwambia zelenky anataka kuanzisha vita ya 3 ya dunia ambayo yeye hana card alikuwa anamaanisha mwenye card ni nani? America tu? Nafkiri Trump alikuwa na uwoga kwa China na Russia ndio ambao wanakutana na mnyama aliyemuhenyeha Netanyahu kwa siku 12
  11. 5

    JamiiForums Tanzania Mataifa 4 kukutana punde kikao cha faragha

Back
Top Bottom