Recent content by 51-999

  1. 5

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Vyuo Vikuu havifungwi kwa ajili ya El Niño iwapo Shule za Msingi na Sekondari zinafunga?

    Naomba kuuliza Wizara ya Elimu na TCU, imekaaje kuhusu kutofungwa kwa vyuo wakati wa El Niño, wakati wanafunzi wa shule za msingi hadi kidato cha sita wamefungiwa shule? Naona hili linaweza kuwa changamoto, kwa sababu wanafunzi wengi wa vyuo husafiri kwenda Dar es Salaam na maeneo ya jirani...
Back
Top Bottom