Recent content by 5-1

  1. 5

    JamiiForums Tanzania Kwa imani ya kiislamu huwezi kujibu ili swali kwa kumtetea msanii Diamond mwanaye kubadili dini

    kabla kuandika taarifa hakikisha ina ukweli sio kukurupuka, aliye badili dini ni mtoto wa kwanza wa zari na sio wa diamond, diamond alimkuta zari n single maza Usilete taharuki kisa udini
  2. 5

    JamiiForums Tanzania Ilivyo ngumu kuvunja maagano na viapo katika koo na familia

    basi tuonyeshe hio njia ya kuondoa generation curse
  3. 5

    JamiiForums Tanzania Ilivyo ngumu kuvunja maagano na viapo katika koo na familia

    sasa hapo ameondoaje hayo malaaana ya ukoo na sisi tupate elim
  4. 5

    JamiiForums Tanzania Kodi nyeusi (Black Tax) ni kizingiti kikubwa sana cha utajiri kwa kijana Mwafrika mweusi

    huyu huy anaelalamika kusaidia ndugu ndo huyo huyo anaepelek hela nying kweny nyumb za ibada viongoz waztafune
  5. 5

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa kujitambua

    ndo umeshamaliza au inaendlea ?
  6. 5

    JamiiForums Tanzania SEX ni Spiritual Energy Exchange. Tendo la kubadilishana nguvu za kiroho

    mada kama hizi hazimalizi humu jukwaaan, mtoa post atapotea hatorudi tena kuendeleza mada yake
  7. 5

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Hapa hakna masharti magum ya kishetan
  8. 5

    JamiiForums Tanzania Viwanda ndiyo suluhisho la ukosefu wa ajira?

    Viwanda hivi ambavyo mshahar n 4k kwa siku au viwanda gan mkuu?
Back
Top Bottom