Recent content by 416006

  1. 4

    JamiiForums Tusahau ya kampuni ya NICOL, hii ndio biashara itakayotutoa sisi watanzania

    Ndugu mnafuatatilia mada hii, napenda kuchukua fursa ya mjadala huu kuwaomba wale wanaomiliki hisa katika makampuni ambayo hisa zake zinauzwa kwenye soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) kama vile TWIGA, TBL, CRDB, n.k. kushiriki katika utafiti wangu. Nimeandaa dodoso ambayo unaweza kujaza...
  2. 4

    JamiiForums Utafiti_Uwekezaji katika Masoko ya Hisa

    Asante sana kwa ushauri. Nimelichukua wazo lako, na nalifanyia kazi.
  3. 4

    JamiiForums Utafiti_Uwekezaji katika Masoko ya Hisa

    Ndugu wana JamiiForums, Naomba kuwaalika wale wenye hisa katika makampuni ambayo hisa zake zinauzwa katika soko la Dar es Salaam (DSE) kushiriki katika utafiti wangu wa Uzamivu (PhD) kuhusu maamuzi ya kuwekeza katika soko la hisa. Hawa ni watu wenye hisa kwenye kampuni kama vile TBL, TWIGA...
  4. 4

    JamiiForums Maombi ya Kushiriki katika Utafiti

    Hello, Napenda kuwaomba Watanzania wenzangu walionunua HISA KATIKA MAKAMPUNI ambayo hisa zake zinauzwa katika soko la hisa la Dar Es Salaam (DSE), mf. TBL, TWIGA, CRDB n.k. kushiriki katika utafiti wangu kwa kujaza DODOSO kwenye link iliyowekwa hapa chini: https://www.surveymonkey.com/...
Back
Top Bottom