Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu , kila mmoja kwa imani yake popote mlipo wanajf.
Rejea mada tajwa hapo juu,
Usijigambe sana kwamba upo na connection sijui na kiongozi gani, uyu ulie na connection naye na unajua mambo yake mengi , siku akiona lipo jambo linaweza kumsanukia ,jua tu lazima...
Shida kuu ya makonda ni kamdomo , hajui boss wake amefiwa na mme wake , mie sio ccm ila mzee alikua mungwana hakuji tutumua katika ufalme wa dunia kama wale, mfano kikwete mke awe Rais mbona tungekoma , mzee alisimama na mambo yake , nitaenda kumzika siku moja na imekua
So what ,unakua pesa ,mali za kudhulium maisha ya watu ,rushwa, n.k ,zitalipwa tu kama sio kwa wanao basi kizazi chako kjacho.
Yupo rafiki yangu hapa Dodma ,alikua askari barabani ,kwake maeneo ya Mbwanga ,alipiga pesa sana na kujenga nyumba yake yenye kigorofa flani hivi kupitia pesa za rahana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.