Hapo nadhani ameathirika kisaikolojia.......huenda kuna kitu kilishamuumiza sana ktk mahusiano mpaka inatoke hana hamu ya ku-do......hivyo hisia zipo mbali na labda wakati mnataka kumpa haki yake yeye hukumbuka ki2 kilichomuumiza kipindi flan na mood inakata hivyo unakuta haiwi rahisi kukojoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.