Mhe Jerry Silaa Waziri wa Ardhi, nyumba, maendeleo na makazi tunaomba kujua hatma ya kupewa HATI kwa wananchi walionunua viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni mwaka jana. Wizara husika imeweka zuio la kutoa hati kwa wananchi waliokwisha maliza kununua...
Natumaini wote ni wazima,
naombeni msaada jinsi ya kutatua tatizo langu upande wa nuru. Mimi ni mtt wa nne kutoka familia fulani nimeolewa, ni Mkristo.
Familia yetu imekuwa Ikifatiliwa sana na nguvu za giza. Ktk ukoo wetu nimefatilia wote tuliobarikiwa ndoa hatujapata watt sijui tatzo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.