Recent content by 2mb

  1. 2

    Mwalimu asimamishwa kazi kwa kumtukana Rais Samia

    Ipo siku tu hivi vyeo vitayeyuka kama goliath alivyopingwa na kijana mdogo daudi na akaikomboa Israel, acha wakufute kazi ila mtetezi wetu yu hai
  2. 2

    Askofu Mwamakula: Tundu Lissu aomba hifadhi Ubalozi wa Ujerumani baada ya vitisho vya uhai wake

    Wamtumainio bwana ni kama mlima sayuni hautatikisa kamwe, maadui wa lissu watakuwa Madui wa Mungu
  3. 2

    Trump huenda akaanguka Urais Marekani, Macho yote majimbo(state) matatu Nevada, Wisconsin na Michigan

    Unapoingia katika siasa ukubali kuongoza na kuongozwa muhimu sana nimkumbushe trump kuwa mfumo huo huo anao utuhumu ndio ulimtangaza mshindi vipi leo aseme anaibiwa kuraaaaa ama kweli wanasiasa ndooo wabaya si siasa#### kuna haja ya kujifunza uvumilivu wa kisiasa haijalishi unatokea wapi...
Back
Top Bottom