Recent content by 2daySky Expert

  1. 2

    JamiiForums Tanzania Wajasiliamali wa Tanzania kupata ahueni ya Kiteknolojia

    Pole sana tizama picha hii imeandikwa from date
  2. 2

    JamiiForums Tanzania Wajasiliamali wa Tanzania kupata ahueni ya Kiteknolojia

    Lakini nimejaribu haina shida unaweza kuweka kuanzia tarehe fulani hadi tarehe nyingine
  3. 2

    JamiiForums Tanzania Wajasiliamali wa Tanzania kupata ahueni ya Kiteknolojia

    Hello pole sana ndugu , simu ndio ilikuwa online kwa browser sasa sikugundua kama umetuma swali bonyeza hapo kwenye today badili uchague from date uchague tarehe nyingine yoyote kwamfano hiyo tarehe 27 . usipo ona naomba unitaarifu tena : Pole sana kwa usumbufu ulio jitokeza
  4. 2

    JamiiForums Tanzania Wajasiliamali wa Tanzania kupata ahueni ya Kiteknolojia

    Huu ni ushauli mzuri sana , tutaufikisha kwa ma developer waufanyie kazi . Asante kwa kutoa maoni pia
  5. 2

    JamiiForums Tanzania Wajasiliamali wa Tanzania kupata ahueni ya Kiteknolojia

    Safi sana kaka .
  6. 2

    JamiiForums Tanzania Wajasiliamali wa Tanzania kupata ahueni ya Kiteknolojia

    Password yako inatumiaka kufanya encryption wakati wa backup rafiki , usitoe password kwa mtu yeyote usiye muanimi
  7. 2

    JamiiForums Tanzania Wajasiliamali wa Tanzania kupata ahueni ya Kiteknolojia

    Msisahau kuweka maoni yenu pale playStore ili wengine waone ,
  8. 2

    JamiiForums Tanzania Wajasiliamali wa Tanzania kupata ahueni ya Kiteknolojia

    Hongera kwa kupakua rafiki , jaribu kutumia pia
  9. 2

  10. 2

    App hii imepewa uwezo wa kufanya backup nyenyewe pale inapopata hata KB 1.2 tu , ili kuhakikisha hupotezi data , lakini hii haimaanishi mtumia awe za kazi ya kufanya backup marakwa mara hapana , yenyewe itakusaidia kwa hilo
  11. 2

    JamiiForums Tanzania Wajasiliamali wa Tanzania kupata ahueni ya Kiteknolojia

    Ni wakati muafaka kwa waTanzania kujivunia jambo hili kubwa. Kampuni ya TodaySky , inayojihusisha na uvumbuzi wa hali ya juu katika masuala ya TEHAMA , sasa imeamua kuwaokoa wajasiliamali wa Tanzania, wafanyabiashara na kampuni kwa kuwasaidia kupata takwimu sahihi za ukuaji wa biashara zao...
Back
Top Bottom