Wajasiliamali wa Tanzania kupata ahueni ya Kiteknolojia

Dec 27, 2017
11
9
Ni wakati muafaka kwa waTanzania kujivunia jambo hili kubwa.

Kampuni ya TodaySky , inayojihusisha na uvumbuzi wa hali ya juu katika masuala ya TEHAMA , sasa imeamua kuwaokoa wajasiliamali wa Tanzania, wafanyabiashara na kampuni kwa kuwasaidia kupata takwimu sahihi za ukuaji wa biashara zao.

Kampuni hii imetengeneza Mobile application maalumu kwaajili ya kutunza kumbukumbu za kifedha za mauzo au matumizi pamoja na mapato. ( SkyWallet )

Jinsi ya kutumia:

Mtu binafsi : anaweza kutunza kumbukumbu binafsi za matumizi ya kilasiku kwamfano mahemezi , usafiri, chakula , mapato nk . na app hii inaweza kukuambia umetumia kiasi gani kwa siku , kwa wiki , kwa mwezi , kwa miezi kazaa , kwa mwaka nk
Mjasiliamali : anaweza kutunza kumbukumbu zake za biashara kwamfano kama unamiliki duka kila unapofanya mauzo unatunza kumbukumbu na app hii inaweza kukuambia mauzo yako ya siku , wiki , mwezi , mwaka nk.

Taasisi : unaweza kuunganisha na kuwa na usimamizi wa zaidi ya wahasibu wengi kwa wakati mmoja , unaweza kuona mauzo ya sehemu zako za biashara mbalimbali tofauti tofauti.

Kujiunga na app hii ingia playstore tafuta SkyWallet au bofya linki hii SkyWallet - تطبيقات Android على Google Play , kama ulishawahi jiunga na 2daySky hakuna haja ya kutengeneza account mpya unaweza ku logini kwa account yako ile ile kama ni mara ya kwanza kutimia huduma za 2daySky tengeneza account mpya ya skywallet.

KUMBUKA UNAHITAJI MB 2.5 tu ku download mara moja tu , haiihitaji internet tena .
 
Swali kwako:
Vip kama nikipoteza simu au kuibiwa, kuna backup yoyote naweza fanya kwa email au mnatoa msaada gani?
 
Swali kwako:
Vip kama nikipoteza simu au kuibiwa, kuna backup yoyote naweza fanya kwa email au mnatoa msaada gani?
App hii imepewa uwezo wa kufanya backup nyenyewe pale inapopata hata KB 1.2 tu , ili kuhakikisha hupotezi data , lakini hii haimaanishi mtumia awe za kazi ya kufanya backup marakwa mara hapana , yenyewe itakusaidia kwa hilo
 
Ahaa ndo nimeona sasa... Kumbe ulinzi wangu ni account tu basi
 
Nadhani app umetengeneza wewe, basi kama ni hivyo naomba nitoe ushauri.
Tafadhali ukitengeneza app tumia default fonts, please achana na maurembo unaweka miandiko sijui imetoka wapi, tumia default system font tu, app 99% zina default fonts, au kama umeshindwa kabisa basi tumia family ya sans serif, hizo font unaweka michorongo acha watu wachague wenyewe kubadilisha system font manually. Hili tatizo nimeliona sana kwa developers wa bongo na wengine ambao wako shallow india. Kwanza hiyo michorongo inarender slow, I really don't see the point na inaonekana vibaya, kumbuka sio kionekanacho kizuri kwako kitakua hivyo hivyo kwa wengine wote, ndiyo maana ukiacha system font mtu ataweza kubadili anavyotaka.

Baada ya hilo nikupe pongezi naona unajitahidi kurelease apps mbalimbali
 
Huu ni ushauli mzuri sana , tutaufikisha kwa ma developer waufanyie kazi . Asante kwa kutoa maoni pia
 
Hodiii,mkuu naona uko online
Sioni data zangu za tar 27 nifanyeje, toka jana nlitaka nijaze nashangaa naona page ka mpya sioni seem ya kuona kwa mwezi
 
Mbona hujibu kitu
a6a1eef4f9c1ccefa69eae2e7a3eef4f.jpg
 
Mbona hujibu kitu
a6a1eef4f9c1ccefa69eae2e7a3eef4f.jpg
Hello pole sana ndugu , simu ndio ilikuwa online kwa browser sasa sikugundua kama umetuma swali bonyeza hapo kwenye today badili uchague from date uchague tarehe nyingine yoyote kwamfano hiyo tarehe 27 . usipo ona naomba unitaarifu tena : Pole sana kwa usumbufu ulio jitokeza
 
Lakini nimejaribu haina shida unaweza kuweka kuanzia tarehe fulani hadi tarehe nyingine
 
Nilikosa msaada na nilijaribu zaid ya mara 2 lakin haiwe kuhifadh data
 
Back
Top Bottom