RIWAYA: MATEKA
MTUNZI: EMMANUEL PHIRI
NAMBA: 0758 195 890
(KIPANDE CHA NANE)
Giza lilianza kuufukuza mwanga taratibu, mwanga haukuwa na ubishi wowote kwa sababu ulikuwa umeshatawala kipindi chake cha kuanzia asubuhi mpaka jioni. Sasa ulikuwa usiku, zamu ya ndugu yake giza, ndugu asiyeweza...