Recent content by 2025CCM

  1. 2

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lissu Inatakiwa Afunguliwe Mashtaka Mapya Kabisa na kufanya Uchunguzi Juu ya Kauli zake zilizotolewa Mwaka jana kabla ya Uchaguzi

    Chama kinahitaji vijana wanaoweza kujenga na kujibu hoja zitakazotufanya tukae meza moja na kuridhiana.
  2. 2

    JamiiForums Tanzania UKWELI MCHUNGU: Hakuna kitu CHADEMA itapata na kufanikisha bila kwenda kwenye meza ya Mazungumzo. Watasambaratika kama mchanga ardhini

    Ushauri ni mzuri ila mleta ushauri hana credibility kwa wapewa ushauri. Mfumo wake wa ukosoaji na kutoa hoja umemuondolea credibility kwa anao wakosoa. Inabidi kujifunza kukosoa katika mfumo ambo inapofikia kusikilizana ni only option iliyobaki, watu waweze kusikilizana. TANZANIA TUNAWEZA...
  3. 2

    JamiiForums Tanzania Kwa macho ya kawaida utaona ni haki inagombaniwa, ila kwa taarifa za uhakika kinachopikwa ni Tanzania kuwa Congo ya pili

    Oct 29-30 chama kimepitia changamoto. Mpaka sasa kipo kwenye changamoto ya yanayojiri baada ya tukio lile. Poleni sana Watanzania waliopeteza ndugu, jamaa na marafiki kwenye kumbukumbu ile isiyopendeza.
  4. 2

    JamiiForums Tanzania Ukiachilia Mbali Kutisha tisha, JWTZ haliwezi kamwe kugeuza Bunduki zake dhidi ya Raia ! Tujitokeze wengi sana katika Maandamano!!

    Jeshi la wananchi kazi yake ni kuilinda nchi na hatari kutoka nje, ukiwaona wametapakaa kabla hujakabiliana nao jiulize kuna hatari gani isiyo ya kihalifu wa kiraia ya kuruhusu uwepo wao. Tanzania sio kisiwa.
  5. 2

    JamiiForums Tanzania CCM Kufanya uchaguzi bila CHADEMA ni kujitekenya na kujichekesha

    Kila la heri. Chama kitaendelea kunadi sera ili kiendelee kukuongoza kwa awamu nyingine.
  6. 2

    JamiiForums Tanzania CCM waliponunua mabasi sikuwaelewa, Sasa nawaelewa

    Wanazisikiliza pia sera za chama ili waendelee kukiamini chama 2025-2030.
  7. 2

    JamiiForums Tanzania CCM Kufanya uchaguzi bila CHADEMA ni kujitekenya na kujichekesha

    Viongozi, wanachama na raia wapenzi na wapiga kura kwa ccm wengi walishakuwepo na sasa hawapo ila wameiacha ccm madarakani ikiendelea kuaminiwa kuongoza.
  8. 2

    JamiiForums Tanzania CCM Kufanya uchaguzi bila CHADEMA ni kujitekenya na kujichekesha

    Dhumuni la ccm ni kuendelea kushika madaraka 2025-2030.
  9. 2

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kampeni za Mgombea Urais wa CCM zapotea Mitandaoni, inadaiwa Chanzo ni Bomu la Polepole

    Ccm inaendelea kuchanja mbuga kijiji kwa kijiji.
  10. 2

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bado kuna Fukuto la kwanini Samia hajapitishwa kwenye Chujio !!!

    Kuamini kuwa CCM ina mpasuko ni kete muhimu sana kwa upinzani kutoka CCM. Imefanya kazi tangu enzi za Mrema na itafanya kazi hata leo sababu wafuasi wa upinzani na viongozi wa upinzani wakati wote wana malengo, mategemeo, matendo tofauti na maneno yanayofanana ili kuwafikirisha wao ni kitu kimoja.
  11. 2

    JamiiForums Tanzania Tupo na mama mpaka 2035, Kwa mara ya kwanza anaenda kugombea urais 2025, mara ya pili 2030, awamu ya sasa haihesabiki

    Tumia muda kuifahamu katiba ya nchi yako. Madaraja yanavukwa yakifikiwa, sio kabla. Unapata tabu na daraja la 2030 ilihali ndo tumelifikia la 2025.
  12. 2

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

    Tukutane tena 2030 panapo majaliwa. Hili limeshakwisha.
  13. 2

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa kuna kundi fulani CCM linatamani Lissu ashinde ili wapate sababu ya kumpumzisha mtu wao

    CHADEMA si tishio kwenye nafasi ya uraisi. Kumpitisha au kutompitisha Daktari Samia kuipeperusha bendera ya chama cha mapinduzi haina uhusiano na wanachofanya CHADEMA.
Back
Top Bottom