Recent content by 1st born

  1. 1

    JamiiForums Naomba kujuzwa shule bweni kwa level Kindergarten and primary

    Nafikiri maana ya neno dharura unaielewa ,jaribu kuwa na heshima kwa anaye kuheshimu. Wakati ujao kama huelewi au huna kitu chanya kwa msaada ulioombwa nyamaza.
  2. 1

    JamiiForums Naomba kujuzwa shule bweni kwa level Kindergarten and primary

    Wakuu msaada naomba kufahamishwa shule ya bweni nzuri na salama kimalezi kwa mtoto wa miaka minne ndani ya mkoa DSM na Pwani, nina dharura inabidi mtoto akakae kwa mwaka moja Natanguliza shukrani
  3. 1

    JamiiForums Naomba kufahamishwa kuhusu gari aina ya Toyota Noah Voxy

    Nilikua nafikiria kuiuza baada ya miaka 3
  4. 1

    JamiiForums Naomba kufahamishwa kuhusu gari aina ya Toyota Noah Voxy

    Wakuu kufahamishwa ubora wa noah voxy, ni chaguo sahihi kwa Mtanzania kima cha chini, na nikihitaji kuliuza miaka mitatu ijayo soko halitanisumbua?
Back
Top Bottom