hakuna ntakaegombana nae ndugu mana hakuna ninaefahamiana nae humu..wale mnaojifanya wazoefu wa jf mnajua kila kitu,kukosoa na kuhalibu thread za watu mtaendelea na yenu then wale waungwana atapita kimya or kutoa ushauri wa kujenga na zaid naendelea kupata cmu ma wisho wa siku nitakipata...
asante kwa mtizamo wako,najua hata wewe unafaham kuwa online nayo ni njia ya kukutanisha watu na zaid hta kama nakutana nao mtaani huwezi juwa why nimeamua kutafutia hapa..ni maamzi yangu binafsi kama yeyote anavyoweza kufanya..zaid ukiona mada haikuhusu unakaa tu kimya na kuwaachia itakao...
ulielewa nilichoandika hapo juu au umekurupuka tu nawe uonekane umechangia?na kilichonileta hum kwa sasa ni kumtafuta mwenzangu kwanza..ushaona thread yoyote nyingine nimeanzisha?usiwe una kurupuka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.