Kwel mkuu!!! Tuwasamehe na hawa wengine ambao hawajakuelewa kwa upeo wao mdogo wa kuendekeza upinzan kwa kila kitu na kutokuelewa hoja ya msingi unayoizungumzia kama mtanzania!! Ipo cku nao yatawakuta hayo na wataamin maneno yako yaliojaa hekima na busara!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.