Recent content by 1963

  1. 1

    UKAWA kugomea Kamati za Bunge

    Watanzania sasa tupunguze UBINAFSI mimi nauona umeenea kwa kila mtu, watu hatuaminiani kabisaaaaa! Asanteni
  2. 1

    Kitila Mkumbo: Ndalichako amekosea

    Kwa hili la kuturudisha kwenye DIVISION kutoka kwenye GPA,wadau tuna muunga mkono Mh. Waziri wa elimu, kwani mfumo huu Watanzania wote tuliuzoea,ila walikuja watu wachache wavivu walio na madaraka wakataka kuwayumbisha Watanzania.Nakumbuka hata Mh. Spika wa bunge la Tanzania wakati huo aliupinga...
  3. 1

    Rais Magufuli alakiwa Arusha, akiwa ndani ya nguo za Kijeshi

    Watanzania tuamini sasa kuwa uchaguzi umepita tufanye kazi kwa bidii zetu zote kuziba pengo la kiuchumi lililosababishwa na harakati za uchaguzi uliopita.Tushikane pamoja tufanye kazi tujenge uchumi wa nchi yetu. Asanteni.
Back
Top Bottom