Recent content by 12STONE

  1. 12STONE

    PreGE2025 Arusha: No Reforms No Election yapokelewa kwa kishindo, Sura mpya zatawala Jukwaa, Makonda apigwa na Bumbuwazi

    Neutral kivipi, Kuna Maaskofu na Mashekhe wao na CCM Ni damu na mishipa; Kamwe hutakaa uwaone kwenye majukwaa ya vyama vya upinzani Hasa CHADEMA.
  2. 12STONE

    Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

    KAFULILA ajue hatuli wala hatushibi data za uongo Ni busara IPI inatumika kuuza Bandari zetu kwa waarabu huko ndio kukua kwa uchumi ama kushindwa kushindwa kuendesha shughuli za kukuza uchumi wa Nchi. Ruhusuni katiba mpya YENYE meno ya kumkaba RAIS uone Kama baadhi yenu hatakimbia Nchi. Pia...
  3. 12STONE

    Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

    Kama umevimbiwa na posho za MAMA SAMIA utasema tofauti na shibe kaka??? (WEWE KAFULILA ushammeza CHURA kumtapika huwezi) Usitupumbaze Hali ya uchumi ni mbaya Sana mtaani hasa kwa MTU mmoja mmoja. Ila Ni kweli kwenu NINYI uchumi unakua kwa Wananchi uchumi huo mnasema unakua haupo kabisa.
  4. 12STONE

    Hatuna viongozi wenye maono makubwa kwa Tanzania yetu

    Kwa dhamira njema kabisa, nina shauku kubwa sana kuona timu yetu ya mpira wa miguu, yaani Taifa Stars, inaenda ama kufuzu kucheza Kombe la Dunia. Lakini sera mbovu za serikali ya chama tawala CCM, ikiwa ni pamoja na kukosa mikakati karibu kila kona ya wizara na idara, zimesababisha kudumaa kwa...
  5. 12STONE

    Tetesi: CCM yapanga kufanya mkutano eneo ambalo CHADEMA walipanga kufanya mkutano huko Singida Magharibi

    Serikali inajipiga kifua kwamba katika Uongozi wa MAMA SAMIA RAIS WA JMT ,Demokrasia imestawi. Kiukweli usawa wa uendeshaji wa shughuli za kisiasa unabinywa chini kwa chini karibia kila Kona ya Nchi yetu. Kesho Jumanne Tarehe 11/6/2024 kutakuwa na Mkutano wa MHESHIMIWA TUNDU LISSU (MAKAMU/KITI...
  6. 12STONE

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Nonsense - Achana na mafundisho potofu, Acha kabisa kutegemea kisicho kutegemea baada ya kufa kwako. Unachokiamini ni upuuzi mtupu. Tundu lissu sio MUNGU ni mtu Kama watu wengine kamwe hawezi kumpitisha magufuli aende peponi ama kuzimu. Ukifa uwe umetenda mema au mabaya, Matendo yako...
  7. 12STONE

    Lissu amuumbua Makonda sakata la kutaka kumtapeli nyumba ya GSM

    Watu wanaoleta matatizo hayo wakiongelewa maana yake TAYARI MATATIZO YAMEONGELEWA. Huenda wewe Ni miongoni mwa wanaokula na kuvimbiwa kwa mfumo wa kifisadi,Akizungumzwa MTU wa mrego ule ule kama wa kwako hatutegemei UTAFURAHIA.
  8. 12STONE

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Bwawa Ni la muhimu sana Ila kwa kila anayejiondoa akili ataona halina umuhimu. Na NCHI lazima itegemee umeme unaopatikana kwa njia zote hizi:- 1).Maji 2).Gas 3). Uranium 4). Upepo 5).Jua Ni aibu kubwa Sana mpaka Leo bado tunahangaika na issue ya KUKATIKA kwa UMEME.
  9. 12STONE

    Mkurugenzi na Madiwani jiji wanaharibu Arusha School

    Kwa kweli inakera na kuchosha.
  10. 12STONE

    Mkurugenzi na Madiwani jiji wanaharibu Arusha School

    Kwa utaratibu Mambo mema na mepesi au magumu yanapikwa au kuandaliwa na kikao Cha mwisho Cha Wazazi kuamua Nini kipitishwe kwa Sasa. Ni makosa Mambo Kuanzia kwa MKURUGENZI wa JIJI na MADIWANI Yaje kwa mtimdo wa kulazimishwa YAPTE BILA KUWA NA KIKAO CHA WAZAZI WENYE KUTOA RIDHAA YAO. Shida sio...
  11. 12STONE

    Mkurugenzi na Madiwani jiji wanaharibu Arusha School

    Ya serikali, ajabu wanalazimishia Wazazi wa Arusha school kupitia kupanda gharama hizo wapate fungu la kujenga shule nyingine yenye mfumo huo wakiingereza. Kwanini MAMA SAMIA Rais asitoe pesa za kujenga shule hio wakati tunaona Kuna sehemu akatoa FEDHA za kujenga shule. Kuna uwezekano MKUBWA...
  12. 12STONE

    Mkurugenzi na Madiwani jiji wanaharibu Arusha School

    Wazazi wanalalamika:- 1).FEDHA zinapelekwa kujenga shule nyingine wakati shule yenyewe Ina mapungufu ya madarasa. Ni bora FEDHA hio inayongezewa itumike kuongeza madarasa ya pale Pale Arusha school.
  13. 12STONE

    Mkurugenzi na Madiwani jiji wanaharibu Arusha School

    Nimekutana na MZAZI mmoja anaongea kwa kuonyesha uchungu na HUZUNI kubwa kwa Yale yanayowakabili Wazazi walio na Watoto wenye kusoma shule hii kongwa ya enzi za mkoloni. Tangu mwaka Jana 2023 MKURUGENZI NA BARAZA LA MADIWANI walikuja na mpaka mpya wa kupanda gharama za kusomesha Watoto katika...
  14. 12STONE

    Wananchi tupige kura kulimaliza hili sakata la DP World

    Sio sawa kabisa, Ni mbadala la kijambazi lenye kuonyesha MTU kutokuwa makini kwa Ulinzi wa RASILIMALI ZETU. Kama Wabunge walioko bungeni Sasa kwa 99.9% wameingia bungeni kwa Hila na wizi wa kura kimabavu.Na Wabunge wote hao wako HAPPY TU. Tena Usisahau Ni Wabunge hawa Hawa ndio wamepitisha...
Back
Top Bottom