Recent content by 100 SANDALS CO.

  1. 100 SANDALS CO.

    First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

    First year diploma au bachelor?
  2. 100 SANDALS CO.

    First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

    Samahani mheshimiwa hiyo DAWA haihusiani na mambo ya ushirikina?
  3. 100 SANDALS CO.

    Hongereni HELSB 2015/16

    Aiseeee Mimi wa CHUGA mokoo,,ARUSHA,,,,,,,oyooo yaishieee hapo ngoja tufanye mengine ya msingi
  4. 100 SANDALS CO.

    Hongereni HELSB 2015/16

    HAKUNA kitu pale ktk news ,taarifa zilizopo ni za UFAFANUZI WA TAARIFA ZISIZO ZA UKWELI ZA WALIOPATA MKOPO MWAKA WA MASOMO 2015/2016,,,,,,, tangazo la pili ni la GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR THE ACADEMIC YEAR 2015/2016,,,,,, tangazo la Tatu na mwisho ni la EMPLOYMENT OPPORTUNITIES,,,,,,,, ACHA...
  5. 100 SANDALS CO.

    Hongereni HELSB 2015/16

    Poa let me check
  6. 100 SANDALS CO.

    First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

    Kaka hizo fomu sina ,ila kama unayo jaribu kunitumia kwa njia ya WhatsApp au attach hapa nione ilivyo then nkujibu,,,but mnatakiwa kujua bodi inawalipia kiasi gani cha ada then kinachobaki ndio mjilipie wenyewe,,,,maana unaweza ukaenda kulipa bank ada wakati bodi wamekupa ada asilimia zote...
  7. 100 SANDALS CO.

    First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

    Kwa watakaopewa mkopo yakupasa kufungua akaunti,,, fungua crdb ndio iko fasta kuingiza bumu NA NMB wanacheleweshaga,,,, wakati unasubiri mkopo uwe NA pesa ya matumizi maana mkopo unachelewa kwa wiki 2 au 3,,,
  8. 100 SANDALS CO.

    Hongereni HELSB 2015/16

    Sema inawezekana kwa ajili ya uchaguzi maana polisi saa hivi wanakula posho kubwa kinyama kama magufuli alivyodhibitisha KWENYE kampeni
  9. 100 SANDALS CO.

    Hongereni HELSB 2015/16

    Bum unaingiziwa vp wakati hauja saini chochote,, hamnaga kitu kama hiyo,,,NA kuongezeka kwa bum tupe source ya news zako
  10. 100 SANDALS CO.

    First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

    Ukifika DODOMA MJINI kuna stend ipo inaitwa jamatini pale magari ya kwenda UDOM yapo kwa bei ya 400-500 ,usiingizwe mtegoni na bodaboda au taxi watakulamba 10000-15000 hadi UDOM,,, maana UDOM ndio chuo kilichombali NA MJINI...kuwa makini ufikapo mjini...Mimi nipo Dodoma kama una maswali yoyote...
  11. 100 SANDALS CO.

    First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

    Kuhusu suala LA hostel wala msiwaze ,hostel zipo za kumwaga NA magorofa mengine hayana watu kabisa ,KARIBUNI aiseeee ,Mimi nipo UDOM social science mwaka wa Tatu,,,, KARIBUNI sana THE WHITE UNIVERSITY
Back
Top Bottom