Recent content by 1-D

  1. 1

    Wananchi wa Mkuranga, Kibiti wanashirikiana na wauaji, Mwigulu na RC walionya kwamba Operation kali

    Mama yangu angesoma na wewe ungekamatwa maana na wewe ni kati ya hao!
  2. 1

    Wananchi wa Mkuranga, Kibiti wanashirikiana na wauaji, Mwigulu na RC walionya kwamba Operation kali

    Uko sahihi kabisa, nimetolewa porini wanakofichwa ndugu zako wanaoua vijana wetu! Mimi nimetoka gizani ulipo wewe! Njoo nuruni ili unyama na uasi huo utoweke! Acha unyama ndugu!
  3. 1

    Wananchi wa Mkuranga, Kibiti wanashirikiana na wauaji, Mwigulu na RC walionya kwamba Operation kali

    Mtoa hoja nahisi ni mhamiaji haramu si raia wa Tanzania! Jeshi la polisi lifanye kumlika uhalali wake! Ikiwa raia wa kibiti na mkuranga wameasi ni lazima ijulikane na washughulikiwe kwa mjibu wa sheria za uhaini! Tujuavyo sisi watanzania kila raia ni mlinzi wa nchi yetu! Hatuna watu kama mtata...
  4. 1

    Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

    Huyu Daudi ndo aloingiza hela kwenye akaunti ya Flora kabla ya kuachana na mume wake! Hilo iliingizwa tokea mwanza na Flora kuhama hotel ya Kings Ways Morogoro! Akasingiziwa Askofu Kwajim! Mambo hayo!
Back
Top Bottom