Recent content by 0768628314

  1. 0768628314

    Gari yangu inachemsha hata ikitembea KM 20

    Hapa inatakiwa tufanye nini maana niliichukua fen yake ikiwa imelokiwa maana ilikua imekufa sasa ukiwasha gari inapiga sana kelele kama unaiandaa ndege kuruka ikabidi ninunue klachi feni mpya ili irudishwe kwenye mfumo wake
  2. 0768628314

    Gari yangu inachemsha hata ikitembea KM 20

    Kutupa ndo suruhisho nikafanye hilo? Kama hujui jambo liache boss hakuna gari mbovu sema huna hela...
  3. 0768628314

    Gari yangu inachemsha hata ikitembea KM 20

    Naomba namba yako maana nasafari ya mbea leo au kesho asubuhi natokea katoro
  4. 0768628314

    Gari yangu inachemsha hata ikitembea KM 20

    Thermostat haipo kabisa ilisha tolewa
  5. 0768628314

    Gari yangu inachemsha hata ikitembea KM 20

    Tumebadili radiator kuweka nyinginge bado kipengele kipo sasa pengine mafundi wanahisi dashboard ilichezewa
  6. 0768628314

    Gari yangu inachemsha hata ikitembea KM 20

    Maji yapo sawa maana tumebadili hadi water pamp na kuweka mpya maana kuna wakati maji yalikua yanaisha ila bado shida ipo pale pale
  7. 0768628314

    Gari yangu inachemsha hata ikitembea KM 20

    Habarini wana jamvi naomba msaada kwa wataaramu wa magari nina gari yangu brevis 1JZ ina tatizo la kuchemsha yaani unaweza tembea hata kilometa 20 za mwenda wa kawaida tu mshale wa hit ukapanda sana kupelekea taa ya chek injini kuwaka ila ukiwa kwenye mwenzo mkali mzunguko wa weni ukiongezeka...
  8. 0768628314

    Gari yangu inachemsha hata ikitembea KM 20

    Habarini wana jamvi. Naomba msaada kwa wataalamu wa magari. Nina gari yangu Brevis 1JZ ina tatizo la kuchemsha. Yaani, unaweza tembea hata kilometa 20 za mwenda wa kawaida tu, mshale wa hit unapanda sana, kupelekea taa ya "Check Engine" kuwaka. Lakini ukiwa kwenye mwendo mkali, mzunguko wa weni...
  9. 0768628314

    House4Sale Nyumba inauzwa imeshuka bei, mmiliki anataka kuhama

    Ndio maana na mimi nimeacha kuongea tena maana comment zinazo andikwa hapa ni uchambuzi mimi nimeweka mezani mali ninayo uza nashangaa wataaramu wamesha anza uchambuzi mara paa kubwa mara kolido mara geita ni polini mara nini daaaah ila bongo
  10. 0768628314

    House4Sale Nyumba inauzwa imeshuka bei, mmiliki anataka kuhama

    Hebu nisaidie kusoma hapo labda mimi sielewi unipe ufafanuzi
  11. 0768628314

    House4Sale Nyumba inauzwa imeshuka bei, mmiliki anataka kuhama

    Ndo nisha maliza hapo haita shuka zaidi ya hapo
Back
Top Bottom