Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Laptop aina ya HP ya dukani inauzwa Used for 6 months Harddisk 500GB RAM 4GB Processor speed 3.55 Ghz Battery 4 hrs Bei 450k maongezi yapo Napatikana Morogoro Msamvu popote inaweza kutumwa...
-1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naombeni gharama ya kutengeneza geti la chuma lisilo na urembo ila iwe na design ya vertical bars, vipimo ni futi 15(upana) kwa 8.5(urefu).
0 Reactions
14 Replies
50K Views
Kilimo Cha matunda aina parachichi mkoani njombe Matunda haya ya parachichi yamekuwa ni deal kubwa Sana hapa nchini Kwa mahitaji ya mashamba ya kupanda parachichi na Miche ya parachichi aina ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji kampuni ya ICT ya KUELEWEKA ifanye projects kadhaa kwenye kampuni flani. Tafadhari wahusika tuwasiliane. Asanteni.
1 Reactions
3 Replies
933 Views
Habari na Karibu katika Semina ya “JINSI YA KUTUMIA UJUZI ULIOKUWA NAO ILI KUJIINGIZIA KIPATO”. Semina hii itajikita sana katika kuonyesha namna ya kutumia ujuzi uliokuwa nao ili kutengeneza...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, Naomba mwenye mashine ya kutengeneza tambi za kienyeji anicheki tufanye biashara.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba anayejua zilipo office za be forward (T) kwa hapa Dar es Salaam anijuze.Hawa ni wale wanaohusika na uagizaji wa Magari kutoka Japani.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Laptop Hp inauzwa ipo mwanza maduka tisa Core i3 4gb ram Tsh250000/= Imetumika mwaka mmoja. Haina tatizo lolote nina shida ya hela tu. Ambaye yupo interested nicheki pm.
1 Reactions
3 Replies
897 Views
Model of Human Skeleton Contact 0672999266
0 Reactions
4 Replies
799 Views
Offer ya leo na kesho. HP ELITEBOOK Os:win 10/7 Core i5 Prc:2.6Ghz turbo boost up to 3.0 Ram:8Gb Hdd:750. Batt:4hrs + Back light keyboard[emoji736] Fingerprint scan[emoji736] Condition: clean no...
0 Reactions
1 Replies
729 Views
Unapata tatizo kuandika: - Research papers i.e. thesis and dissertations - Research proposals - Term papers -Academic essays Call number +255 753898212 for guidance
0 Reactions
6 Replies
557 Views
Tunauza na kusambaza majiko bora kabisa ya mkaa na ya kisasa jikokoa kwa gharama nafuu. Ni majiko imara sana, bora, ya kisasa na rafiki wa mazingira. Majiko haya yanatumia mkaa kdg mno na...
0 Reactions
50 Replies
13K Views
Tunatoa semina ya bure ya jinsi ya kujiajiri kwa kutumia simu yako ya mkononi kwa mtaji wa TZS 80,000 tu ambapo utaweza kupata mapato ya mwezi ya zaidi ya milioni moja. Semina inaendeshwa kuanzia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kuelekezwa jinsi ya kufika kisiwa cha Comoro ukiachana na usafiri wa angani(Ndege)
0 Reactions
15 Replies
5K Views
habari wakuu! mimi ni mjasiriamali mdogo mkazi wa sengerema-mwanza nimekua guest member wa jf kwa more than 2yrs mpaka nikafkia uamuz wa kujoin official , najihusisha na biashara ya kutoa mikopo...
0 Reactions
2 Replies
693 Views
Mwenye dikoda ya azam fedha ipo njo pm uchukue chako
0 Reactions
2 Replies
740 Views
LENS, canon Zoom, 75-300 condition, good Inapatikana Dar Kwa mawasiliano piga 0757 260288
0 Reactions
0 Replies
552 Views
Nauza iphone 7 plus Colour: black Condition: used lakini haina scratch hata kidogo. Storage: 128 gb Ram: 3 gb Ina 9D screen protector na cover mbili Bei 800000/= Tzs Location Mwanza Kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza decorder za TNG ,Star times na Gtv zote zimetumika TNG. Hi decorder in nzima lakini smart card haina. Star times . in nzima na INA smart card take GTV. Nzima sema hii kampuni haipo hapa...
0 Reactions
9 Replies
900 Views
Wakuu kwema? Ni kiwanja chenye ukubwa wa 962 square meter kilichopo mtaa wa michese jijini Dodoma Kiwanja kimepimwa na tiari ramani ya mtaa ipo kamili,kipo jirani na shule ya msingi michese na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…