Kwa mwenye hayo magari anaweza share nami picha hapa ama dm,Gari liwe katika hali nzuri na bei nzuri ,iswir number A. .Engine isiwie inavuja popote.
Waiting for a seriuous seller.
Karibu.
Hii si ya kukosa kabsa kitanda na godoro lake vinauzwa bei sawa na bure. Godoro ni Tanfom nchi 10 na kitanda chake cha chuma..vyote ni vipya.
Location ni nzega Tabora..
Pia kama utahitaji na...
TUNAUZA TOFALI KUBWA ZA KUCHOMA, ZENYE MUONEKANO WA KUVUTIA NA IMARA SANA KWA BEI NZURI YA TSHS 1'000/= KWA KILA PCS MOJA, ZINA UBORA, WA HALI YA JUU NA ZENYE KUVUTIA KWANI ZINAWEZA KUTUMIKA PIA...
Habarini ndugu zanguni, kuna eneo linauzwa wilayan Sengerema mkoani Mwanza, lina ukubwa wa ekari 3, eneo lipo kando kando ya ziwa, ni Mita 150 kutoka ziwani, eneo Lina maji mengi Sana , hvyo Kwa...
kwa mahitaji ya kuku wa kienyeji wenye afya nzuru kwa ajiri ya nyama au kufuga wanapatikana kwa bei nafuu kuanzia 10000 hadi 15000.
Tupo shinyanga mjini.
Wateja wa shy town tunawaletea popote...
Ndugu wana JF nimeamua kuja kwenu Mimi ni kijana mkulima wa nyanya pamoja na mboga za Majani kwa sasa nimeivisha nyanya kama ekari moja na nyanya yangu ni VIP maana inamatunzo mazuri saana kama...
Wale wanaohitaji kuku wakienyeji wakufuga
Kuku Ni wenyewe wakienyeji kabisa kutoka vijijini piga namba 0692669235 niweze kukuuzia kuku wakufuga majogoo kwa matetea karibuni sana
Bei inaanzia...
Habari wadau Kutokana na majukumu nilionayo kwa kipindi iki nimeamua kuiweka sokoni simu yangu ya iphone 6s plus 64 gb grey in colour kwa bei ya 480000/= Fixed Amount.... Battery Life 73%
PAGALA linapatikana PUGU, kigogo fresh
Kutoka lami ni 1.3km
Ina vyumba vitatu, sebule na choo cha ndani.
Eneo la kiwanja ni upana 18meter na urefu 27meter
Huduma zote za kijamii (maji, Umeme na...
BEI. 7000000/=MAELEWANO YAPO
Imetumika
Mwaka 1997
Kampuni Honda
Current location Ipo Tanzania
Import duty paid Ndiyo
Mileage 139849
Transmission Manual
Four wheel drive yes, WASILIANA 0755213580...
Bei 12,694000/=
Maelewano Hapana
Hali
Imetumika nje ya nchi
Mwaka 2001
Kampuni Toyota
Aina Allex
Current location Ipo Tanzania
Import duty paid Ndiyo
Mileage 90000
Car features
• Taa za Ukungu za...
Tupo DAR ES SALAAM, MAGOMENI MAPIPA jilani na kituo cha mwendo kasi ilipo bank ya DTB. Fika sasa ofisini kwetu ili kujiridhisha na kutupa oda ya simu unayoipenda wewe na sisi tutakufikishia mahali...