Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari, Tunatoa huduma bora na za kitaalamu za kutafsiri maandishi kutoka Kingereza kwenda Kiswahili na Kiswahili kwenda Kingereza kwa usahihi na umakini wa hali ya juu. Huduma zetu huhusisha...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari wana JF Ninauza viwanja vilivyoko maeneo tofauti tofauti hapa Mwanza.Viwanja hivi ni yale yaliyokuwa mashamba,lakini baada ya mji kuendelea kukua sasa yalikatwa na yanaendelea kukatwa kwa...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Eneo linauzwa Bunju A Bagamoyo road. Eneo linatazama barabara kuu ya Lami. Wamiliki WA eneo wapo watatu. Kila mmoja na eneo lake lakini lipo sehemu moja. Mmiliki mmoja anauza milion 300 Mmiliki...
2 Reactions
36 Replies
1K Views
DESIGN AND BUILD SERVICES +255624004650 (6BEDROOMS MANSION)
0 Reactions
23 Replies
534 Views
Habari za mda huu natafuta Kiwanja Dar maeneo mazuri yaliyotulia kwa ambae anacho naomba tuwasiliane bajeti yangu 10M hili jambo lipo serious na tunaweza kufanya biashara Hata leo hii...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu natafuta kiwanja Dar es Salaam cha million 4. Aisee nataka na mimi niwe na kwangu nimechoka kupanga kumfaidisha mwenye nyumba pesa. Nipo serious.
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Karibuni sana wells technology wachimbaji bingwa wa visima vya maji safi na salama Gharama za uchimbaji ni kwa mita moja na gharama za mita hotofautiana kulingana na mkoa Kabla hujachimba...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm...
0 Reactions
1 Replies
257 Views
Redmi Mobile Phones Redmi 14C 8/256 Tshs 420k Redmi 13 6/128 Tshs 390k Redmi 13 8/256 Tshs 430k Redmi note 14 128gb Tshs 495k Redmi note 14 256gb Tshs 530k Redmi note 14 pro 256gb Tshs 710k Redmi...
0 Reactions
6 Replies
534 Views
Open Yard For Sale or Rent. Location: Kisemvule. It's located 400m from main road(Kilwa Rd). It has two small building inside and fenced. Size: 3.5 acres. Rental Price: Tsh 6 Million per month...
0 Reactions
0 Replies
231 Views
Bajaji Tvs no DGK inauzwa , kwa sasa IPO inafanya kazi mbezi Bei 3M Contact: 0675336219
0 Reactions
5 Replies
789 Views
Nokia c32 inauzwa 180000 tu haijatumika sana naiuza kwa sababu ya shida tu...ñicheki 0627474141 nipo ilala dar es salaam gb 64 ram 4 camera 50mp
0 Reactions
6 Replies
444 Views
House For Sale. Location: Msasani Near Dar Villa, Misitu St. Features: 1 storey, 4 bedrooms, 4 bathrooms, public toilets, Kitchen, Laundry, Dining, Sitting, Store, water tank, and servant's...
0 Reactions
4 Replies
305 Views
Today, you may be asking yourself numerous questions that are giving you headaches without clear answers. Questions like: Why is TRA sending me tax assessments with interest and penalties when my...
1 Reactions
7 Replies
718 Views
T900 Smartwatch + UltraPods Pro (🎁 Zawadi) kwa Tsh. 28,000 tu. ✅Delivery BURE Dar es Salaam! ✅Calls, Step counter, Music control, Fitness & Style! ⏳ Agiza sasa kabla stock haijaisha! 📲 WhatsApp...
2 Reactions
56 Replies
3K Views
Habari waungwana. Nauza asali mbichi kwa bei ya jumla, kutoka mkoa wa Tabora. Lita 1 ni elfu kumi 10k Lita 5 ni elfu hamsini 50k. Lita 20 ni laki mbili mzigo wako. Baki salama.
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Habari, nahitaji mpiga picha mzuri aje ofisini kwetu kuwapiga picha staff wakiwa kwenye uniform .Hizo picha zinahitajika na ofisi zitumike kwenye marketing. Idadi ya picha ni nne tu Tupo...
4 Reactions
18 Replies
594 Views
Elite Home Tuition Services – Dar es Salaam Elimu bora nyumbani kwako Unatafuta maendeleo ya kweli kwa mtoto wako bila usumbufu wa msongamano wa madarasa? Elite Home Tuition tunakuletea walimu...
1 Reactions
13 Replies
736 Views
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Zimebaki khanga 5. Bei: sh 18,000/= Kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya...
0 Reactions
1 Replies
170 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…