Samsung Galaxy A90
Camera
GB 128
Ram 6
Network 5G
Bei 380
Fingerprint kwenye kioo
Sim Mpya Ina wiki 1 aina mkwaruzo
Wala mchubuko
Akikisha uko serias ndo unapiga sim
piga sim Chapu 0612323330
Hbarini ndugu, nataka kujua zile machine za kichina za kuweka sh mia 200 ya salafu zinapatikana vipi, nataka mimi ndio niwe mmliki na muendeshaji, uwa naona wachina ndio wanazifunga maeneo...
🔌 Submita kata umeme ni kifaa kinachotumika kudhibiti matumizi ya umeme kwa kila sehemu ndani ya jengo—kama vile chumba, ofisi, au nyumba ndogo—kulingana na kiasi cha umeme kilicholipiwa...
Habari
Baada ya kuiona changamoto ambayo watu WENGI huipata wakiwa na uhitaji wa kuagiza magari nje ya nchi mbali mbali kama vile Japan China na marekani hususani kuhusu Bei za magari Kodi zake...
Habari
Nauza harddisk kama zifuatazo
Tb kwa 12 kwa 350000
Tb 3 kwa 120000
Tb 1 kwa 90000
Zote zikiwa na movies humo
Pia nauza computer full workstation
Kwa 500000
Desktop ni intel r...
Luxurious lifestyles in exclusive apartments.
Enjoy elevated living at Delta Residency located at Kilombero street, Upanga, a 12 story masterpiece featuring well designed 3 and 4 bedrooms...
Trekta Massey Ferguson 165 iko kwenye hali nzuri.
Massey Ferguson MF 165
Year of Manufacture 1982
Engine ni PERKINS 3.5L
4- Cylinders
Diesel Engine
HP 58
Condition: Used abroad
Bei: 23'000'000 +...
SHEBWA MASONRY CONTRACTION
Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha
Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba!
Je unatafuta huduma...
Mashimo ya Choo ya Kisasa kwa bei nafuu!
Shimo 1 – Tsh 800,000 tu (Laki 8)
Mashimo 2 – Tsh 1,200,000 tu (Milioni 1.2)
Wasiliana nasi sasa:
0789005562 (Namba ipo WhatsApp pia)
Huduma ya haraka...
MJUE MWANADAMU NA NGUVU ZILIZOMO NDANI YAKE
Kitabu hiki ni mwongozo wa kujitambua, kuelewa nguvu za mawazo, ndoto, mapenzi na nguvu ya tendo la ndoa, pamoja na mbinu za meditation. Kinaeleza jinsi...
MJUE MWANADAMU NA NGUVU ZILIZOMO NDANI YAKE
Kitabu hiki ni mwongozo wa kujitambua, kuelewa nguvu za mawazo, ndoto, uchawi, mapenzi na nguvu ya tendo la ndoa, pamoja na mbinu za meditation...
Tunakuletea ofa ya kipekee – .COM kwa TZS 15,000 tu kwa mwaka!
Anza safari yako ya mtandaoni leo. Iwe ni kwa biashara, blogu au jina lako binafsi – jina sahihi la domain linakupa hadhi mtandaoni...
Habari mwana JF
Karibu PM Air Cargo tukusafirishie mizigo Kwa njia ya ndege 🛬🛫 kutoka China 🇨🇳 Kuja Tanzania 🇹🇿.
Kwa wiki hii mzigo utaondoka na ndege ya Jumapili ya tarehe 07 September
Rate zetu...
Viwanja Viwili Vinauzwa.
Mahali: Kigamboni Tundwi Songani.
Vipo km 20 kutoka Kibada, Mita 200 kutoka barabara kuu.
Ukubwa wa Eneo: SQM 1449.
Bei: Tzs Milioni 35. Mazungumzo yanaruhusiwa.
Nyaraka...
Ninapangisha nyumba mpya na ya kisasa iliyopo Kigamboni, Mtaa wa Saranga – Kata ya Ungindoni.
➡️ Umbali: takriban 1 Km tu kutoka Barabara ya Daraja la Mwl. Nyerere – hivyo kufika katikati ya Jiji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.