Ninahitaji laptop yoyote nzima yenye uwezo wowote ilimradi inaingia net na inafanya kazi, sijali kuhusiana na chaji wala ubora bajeti yangu ni elfu hamsini (50000)
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauza Samaki aina ya Sangara kilo shilingi 4200 kwa bei ya jumla wanaohitaji karibuni PM .nipo Dsm ....Maelewano yapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau msaada,
Nataka niezeke nyumba yangu ya yenye mtindo contemporary, changamoto niliyo nayo ni aina gani ya bati nitumie. Je, Nitumie bati migongo midogo ama migongo mipana?
Watu wengi sana...
Heshimu kwenye wana JF.
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, katika kuhustle kwenye maisha nimeamua nianzishe biashara ya mgahawa ili niweze kukidhi mahitaji yangu ya kila siku.
Mgahawa wangu upo...
Wandugu habari za muda huu! Naomba kujua chimbo la kupata mashine ya aina hiyo kwa dar naipata maeneo gani? Pia ningependa kujua NA bei zake zikoje? Iwe brand new au used.
Ahsante.
Sent using...
Habari wana jamvi, kama mada ilivyo hapo juu mimi ni kijana ambaye kwa sasa sina ajira baada ya kuathiriwa na janga la corona.
Nilikua sekta ya utalii pori la akiba selous na kwa sasa nipo Dar na...
Nauza moderm zifuatazo bei poa.
MODERM ya Airtel no mpya nauza 30,000/+ moderm ya Vodacom yenye namba juu ni 20,000/- na nyenzake pia ya Vodacom ni 15,000/-
Karibuni Sana nipo DSM 0625610791 &...
Nyumba yenye vyumba 3 kimoja Master Bedroom, Public toilet ndani, Sitting, Dinning, Kitchen, Library, Verondor inauzwa MWANZA eneo la Cocacola/Busenga. Pia nyumba ina umeme na Maji msimu wote wa...
Gari ni nzima haihitaji matengenezo yoyote. Ina nyaraka zote muhimu gari haina udalali unawasiliana na mwny nayo moja kwa moja.
IPO Arusha piga 0746265566
Bei ni mil 20
Maongezi yapo.
Sent...
*MAUMIVU YA SHINGO/NECK PAIN*
Maumivu ya shingo hushamblia binadamu wa umri wowote na jinsia yeyote. Ingawa Mara nyingi watu wazima wenye umri kuanzia miaka 35.
*VISABABISHI*
1.Mabadiliko ya...
Habari ndugu zangu.
.
Kwa kuwa Hapa JF ni uwanja mpana.wa Watu wengi Na wa kutoka sehemu mbali mbali natumaini Hitaji langu litapata ufumbuzi.
Kama kuna Dalali au MTU yoyote kwa Hapa Dar...
Habari WanaJF!
Naomba kusaidiwa Tovuti zitakazo niwezesha kufanya manunuzi ya bidhaa Mtandaoni (Phones & Laptops) hasa katika hizo Nchi za Falme Za Kiarabu na Thailand.
Asante
Sent using Jamii...
Pure black castor oil ni Mafuta halisi ya Tanzania yatokanayo na mbegu za mnyonyo yenye vimelea vya omega 9 vinavyochochea ukuaji Wa nywele kwa haraka na uhakika, pia huondoa fungus kama MBA na...
Buda Water Pump Dispenser
- Ni rahisi kutumia
-Ina Rechargeable Battery Inatumia Usb Cable (smartphone charger) kucharge
-Inatunza Charge ndani Mwezi Mmoja na zaidi
-Kuwasha na kuzima unabonyeza...