Vitu vifuatavyo vinaweza kuharibu battery ya gari yako.
1. Kuweka battery yenye low capacity ukilinganisha na battery ambayo imekuwa recommended kwenye Specifications za manufacturer
Baadhi ya...
Habari zenu wanajanmvi,
Natafuta soko la ubuyu kwa bei ya jumla. Yaani mimi natoa shamba na unakuwa bado haujaandaliwa kwa ajili ya kuliwa.
Kwa aliyetayari tuwasiliane kwa namba 0755979447
Tafadhali msaada kujua ubora wa TVs tajwa hapo juu ipi ina ubora mzuri. Ubora wa picha, uimara, bei, n.k nimeitoa LG na Samsung kulingana na bajeti yangu. Nataka kuchukua nchi 43.
NB: Don't mind...
Rafiki yangu kanipigia kanambia walikua wamepanga lufungua dispensary mkuranga
Ila kuna issues zikatokea yeye na partner wake waka sitisha project
Wameamua kuuza vifaa vya kazi
Na uimebaki...
Toyota harrier (tako la nyani)
Gari imetunzwa
Haijarudiwa rangi
Full ac
Full documents
Bei ni 19M
Tunakusaidia kuissue transfer of ownership
Piga simu 0688351006
Habari za jioni wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema.
Natotolesha mayai ya kuku 10000 kwa trei, tunauza vifaranga vya kuroiler na pure kienyeji, pia nakukua wanyama 200 wako tayari kwa...
Habari za jioni wakubwa na wadogo.
Naomba kuzamia kwenye mada
Nahitaji gari kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale kwenye mkoa wa Singida si unajuwa tena kipindi cha kampeni, gari hiyo...
Ina partitions mbili kubwa
Choo ndani
Luku yako ipo nje
Maji yapo
Parking ipo
Office ipo ada estate opposite na dar free market pale kwenye maghorofa yaliyokuwa ya nhc, kodi 380,000 kwa mwezi...
Kiwanja kinauzwa au kinabadilishwa kipo Kange Mkurumuzi Tanga
Urefu 27m Upana 22m
Exchange inafanyika kwa gari ndogo au bajaj viwe katika hali nzuri. Kiwanja bado hakina hati lakini kwa sasa kuna...
Habari wadau! Kama kichwa kinavyosema, ninatoa huduma ya hosting bure kabisa kwa miezi 6 na pia kama unahitaji kua na website au mobile application (ios & android), pia utapatiwa kwa gharama nafuu...
Eneo: Mtaa wa kwa wa mbili - Zogoali
Bei: Tsh. 1,300,000/=
Umeme Upo na maji yapo
Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18
Hakuna Dalalii
Piga namba 0627864823
- Ni aina ya CANON SELPHY (CP1000).
- Size ya paper ni 4×6.
- Inatumia umeme na betri pia.
- High quality printing.
- Iko safi kabisa.
BEI NI 150,000/-
Simu: 0786 737923,
Bagamoyo.
Picha za...
Habari zenu, naitwa Fahad napatikana Ilala Dar es salaam nilikuwa nahitaji mfugaji anaeweza kunsupply mayai ya kisasa tray 300 kila baada ya siku 3, bei isizidi 6200 na usafirishaji wa mayai ni...
nauza vifaa vyote vya mziki na studio, vifaa vyangu ni mtumba toka uk /us /dubai na sa.
nina speaker za mid na bass, busta, mixers, mic, monitor speaker, sound card na vinginevyo vingi...
Habari wadau, hope you are all doing well.
Nauza mayai ya kisasa kwa bei ya jumla trei Tsh 6,000/= (Kuanzia trei 20).
Location: Dodoma Mjini
Karibuni wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazalishaji wa Mabati ya Rangi ya kisasa kwa Muumo wa Kigae, Migongo mipana na Migongo Midogo
Ofa ya usafirishaji bure kwa wateja wetu wa ndani na nje ya Dar es Salaam.
Wasiliana nasi:0764183844
Habari wanajamvi....naomba msaada kujua wapi ninaweza nikauza silver maana nimejaribu kuzurura posta ila wote wananiambia hawanunui silver.Yoyote anaejua wapi wananunua silver naomba anisaidie...