Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Jipatie Shuka 2 size 7*8 Foronya 4 na Pazia 4 upana 1.5 mita Bei 110000 Dar na mikoani tunatuma kwa uhaminifu Mawasiliano +255 620 301 071
1 Reactions
2 Replies
2K Views
IFANYE TV YAKO YA KAWAIDA (LED) KUWA SMART TV PUNGUZO LA BEI MXQ PRO ANDROID TV BOX PATA APPLICATION MBALI MBALI HASA KWA WAPENZI FIALAMU/MICHEZO/GAME ZA WATOTO.CHANNEL MBALI MBALI ZA TV ZA...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mitandao yote 35000 tshs. Ipo Mbagala 0753 815343
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Canon 600d Ipo katika hali nzuri Lens 18-55 Ina chagi yake na betri 2 Bei laki 6 maongezi yapo Na lens kubwa ipo 55-250(bei laki na nusu). ‭+255 757 936 699‬.
2 Reactions
0 Replies
2K Views
NyakisasaEmpire &Brokers tunakusanya kutoka wadaiwa sugu na ya kawaida kwa malipo ya kawaida. Jaribu huduma yetu hutojutia.
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Naomba kujua bei ya vitunguu kwa gunia mahali ulipo iko vipi? Hasa katika mikoa ya Dodoma, Dar es salaam, Morogoro na Mbeya?
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Je mwili wako unauchovu? Haujisikii vizuri kutokana na misuli ya mwili kukaza? Je unajisikia viungo vya mwili wako havipo sawa? Umekuwa na matatizo ya maumivu ya mgongo mara kwa mara, misuli...
0 Reactions
69 Replies
14K Views
Bado mpya imetumika tu miezi mitatu.Tsh 370,000 Mawasiliano: 0712753990
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari! Simu aina ya Iphone 6 inauzwa sh 320,000/=.Simu ina crak kwenye kioo.Simu iko kwenye hali nzuri.Interest buyers nicheki Dm
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Kiwanja kinabadilishwa kipo Mkurumuzi Tanga km 4 kutoka stendi mpya Urefu 27m Upana 22m Exchange inafanyika kwa gari ndogo au bajaj viwe katika hali nzuri. Kiwanja bado hakina hati lakini kwa...
1 Reactions
2 Replies
850 Views
Jipatie Shuka nzuri za cotton Hazichuji Wala kuweka vipele Shuka 2 zenye ukubwa wa 7*8 Foronya 4 Bei 55000 Popote tunatuma bila shida. Mawasiliano +255 620 301 071
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza gari aina ya Honda FIT Mwaka ilipoundwa: 2007 Ukubwa wa injini: CC 1330 Rangi: Dark Blue Imetembea: km 123,000 Imelipiwa kila kitu na haijawahi kupata ajali Bei ni 7.8 milioni, maongezi...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Air Jordan size 9/44 35K Sandals size 42 brown 20K Sandals size 42 dark brown 25K Rubber(pink) Size 42 30K Call& WhatsApp 0692058709 Dar es salaam Mkoani tunatuma
0 Reactions
0 Replies
653 Views
50kg chrome barbell ikiwa ndani ya bag yake kama ilivyo Set hii ina consist Dumbells, Fimbo/Barbell pamoja na plates kuanzia 5kg kushuka chini ambayo yote kwa ujumla tunapata set ya 50kg Ni nzuri...
1 Reactions
2 Replies
844 Views
mwaka 2005 cc 1790 Bei 8.5 milion Gari ipo kawe dar Haina tatizo lolote wala haijawai kupata ajali Mawasiliano: 0765 494 548
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiwanja kipo Kimbiji kwa Moriss,km30 kutoka Kigamboni.Ukubwa ni mita20 kwa 20. Kipo jirani na barabara kuu lakini nje ya mawe ya hifadhi ya barabara.Kipo jirani na ufukwe(beach). Panafaa kwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
gari inauzwa ipo DAR, ni Toyota land cruiser GX, model 1993, 1hz engine, dalali hakuna coz bei imeeleweka hapo million 12/=.......inahitaji matengenezo ya body kidogo kwa kua maji ya chumvi...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
GARI tajwa hapo juu inauzwa; Toyota landcruser old model Cc 3970 Diesel 1993 Vibali vimelipiwa IPO DSM Nzuri kwa kazi nzito Inatembea Nzuri kwa barabara zote. Imewekwa siti nzuri hadi nyuma...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ni Mpya haijawai kutumika Ina kadi yake mpya kabisa Ina wire wa kuunganisha dishi Ina dish lake. Inapatikana Mbezi Luis Wasiliana nami: 0789 830396
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Ukubwa 400 mita za mraba Bei tshs 3.5milioni. Skwata, mwenye kiwanja kajenga jirani Gari haifiki.. 0686648630
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom