Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

anti snoring belt. Kifaa hiki kimethibitishwa kliniki kuzuia kukoroma na kukufanya ulale kwa rahamu starehe. Kukupa afya bora kwa ujumla. . Maelezo: Rangi:ipo ya Bluu na Nyeusi. Kusafisha: fua...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari ya asubuhi,vinahitajika vifaa hivi VARISTOR(32D431K) ,THERMISTOR(CT5D-11).mawasiliano yangu 0769164906
0 Reactions
0 Replies
545 Views
Wakuu nahitaji kufahamu bei ya mahindi pale Songea Mjini kuna mdau anafahamu basi anisaidie maana nahitaji mzigo mwingi.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyojieleza. Nahitaji kukodi deep freezer. Nipo Dar es Salaam. Kwa mawasiliano tumia namba hizi: 0685944069/ 0756999312 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wakuu. Natafuta tairi mbili zilizotumika za Bajaj ambazo zipo kwenye Hali nzuri ili niweke kwenye Bajaj yangu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mahitaji ya recliner za Aina zote zinapatikana kwa gharama nafuu kabisa. Tunauza kwa Jumla na Reja Reja . Tunapatikana kinondoni Morocco nyuma ya Vodacom headquarter na tunapokea malipo ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nyumba IPO mtaa wa Shirikisho Kigamboni Mwembe mdogo mita 200 tokea stend Na kilometa 15 tokea kivukoni Call 0685392211 Document serikali ya mtaa na upimaji shirikishi umeshafanyika Uwanja sqmt...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Haina shida yoyote inapiga kazi vizuri kabisa. Bei Tsh 500,000 (maelewano yapo) 0755868463 location: Kahama
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Nimeuza gari mnunuzi hajafika bei nzuri na gari kaipenda ikabidi tuvue rims tufidie palipopungua Nataka 1,000,000/= Rim na Tyre zake zote 4 Size 24 Sports Rims +255788282409 Kinondoni
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Wakuu, napenda kujua Silcon inayotoka kwenye miamba inakuwa ya moto ukiweka Taster inawaka inakuwa Red na black. Solo lake lipo wapi na bei yake ikoje per litre.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa mafundi wa kutengeneza website kali na app kali, tuonane inbox nina uhitaji wa huduma hii. Contacts zangu 0759158357 WhatsApp
0 Reactions
1 Replies
580 Views
Kampuni ya utalii ya Safari partners yenye makao makao makuu yake mjini Morogoro, inakuketea fursa ya kutembelea mji wa kihistoria wa Bagamoyo kwa gharama nafuu zaidi kwa safari ya siku moja...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujua kwa hapa Dar wapi naweza fanya service ya gari aina ya Marcedes Benz Mnyama anatua very soon Nataka sehemu professional sio uchochoroni Car type C250 CGI 2010
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuuu kama mada inavyosema hapo juu naitaji kufuga kuku kwa ajili ya biashara lakini naombeni ushauri wenu wadau ni aina gani ya kuku ambayo nikiwa nayo watakuwa na faida kwangu yaani watatagaa...
0 Reactions
56 Replies
15K Views
Wakuu, ambao wameshafika "La Chaz " pale Sinza Mori watakuwa wanajua Hali halisi ya pale hasa weekend nyakati za usiku. Utafikiri tupo awamu ya nne aisee. Watu wanakula bata sanaaa. Hawalali...
5 Reactions
102 Replies
26K Views
Habari, nauza shamba heka 10 na heka 4 zipo kijiji cha pili kutoka kimanzichana kilometer moja kutoka barabara ya kilwa. Shamba la heka 10 ni shamba Pori linafaa kwa kilimo na ufugaji, matumizi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nahitaji mayai ya kisasa trey 100 kutoka kwa mfugaji direct, mfugaji uwe wa maeneo ya Dar au Pwani, bei maelewano. Note: Biashara ni endelevu Call: 0783147529 WhatsApp: 0783147529 ASANTENI
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, Natafuta wauzaji wenye hizi GSM superior paper za kuanzia gram 100 hadi 110 nyeupe.Natafuta kwa niaba ya shirika na offer yetu ni nzuri. Kama unazo au unajua zilipo kindly PM me...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Unahitaji ulinzi kwa kufungiwa CCTV camera katika ofisi au nyumba Unahitaji kufungiwa ALARM SYSTEM NA GATE MOTOR SYSTEM ELECTRICAL FENCE SYSTEM TUNAZIFANYA AU UNAHITAJI KUFANYIWA MAREKEBISHO...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…