Wana jamii Tafadhali Nilikua nahitaji kama kuna mtu anaefahamu Bei ya Zile rangi kwaajili ya kuprint T shirt, na kama atakua anajua mahali zinapopatikana, pamoja t shirt plain zenye bei rahisi...
Habari I wana JF kama heading hapo ninapenda kujua gharama za kukodi ndege ndogo kwenda Zbar or any where mkoani. Kwa mnaofahamu gharama zikoje na makampuni gani ya natoa huduma hizo!
Naomba kujuzwa.
Habari wapendwa tunauza vyombo vya ndani au kwenye matumizi ya migahawa na hotels Bei zetu ni nafuu Sana sample nitakazotuma ndizo zilizobakia kwa atakaehitaji tafadhali WhatsApp me 0763772636...
Habari wakuu,
Nauza mayai ya kanga kwa jumla na reja reja, yanafaa kwa kuangua vifaranga vya kanga pia. Bei ni 19,000 kwa trei moja.
Napatikana Dar es Salaam ila kama upo mkoani nakutumia pia.
Wakubwa habari za mchana huu,poleni kwa majukumu ya kila siku.
Mwenzenu nilikuwa na duka mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Mishi la kuuza simu pamoja na vifaa vya simu yaani chaji za simu, earphone...
Habari za Jioni wana Jf
Nahitaji mayai ya kisasa trey 30 kwa tzs 6000 @ Trey
Niko Mwenge opp na TRA
aliye nayo anipm tuelewane nahitaji kesho by Saa 5 asbh
Asante
Habari wadau naitaji ramani ya nyumba ya vyumba vitatu na sebule isiwe yakuwekeza kwa bati nataka izi za kisasa.
Kiwanja changu ni 15*15 kipo Arusha ila mmi nipo DSM kiwanja kipo sehemu flati na...
Habari
Naiuza hi power mixer ya Yamaha g4 in njia nne yaan maiki nne kwa wakati mmja ina power ya kutosha inachukua speaker kubwa kuanzia watt 300 ..kwa wazee wa kurekod ipo fit hata wazee wa...
Kwa wote wanaohitaji ushauri juu ya ujenzi wa nyumba za:
Makazi
Biashara
Sherehe na Ibada karibuni sana.
Najenga kwa Bei rafiki kulingana na mazingira ya mtanzania.
Pia natengeneza mfumo mpya wa...
Drone Online Ads, ni kampuni ya matangazo inayowasaidia wajasiriamali na wafanyakazi kupata viwanja. Kwa sasa, imeungana na Kampuni za ujenzi,ambapo inakupa nafasi ya wewe mmiliki wa kiwanja...
Habari.
Laptop inauzwa kwa bei nzuri sana, imetumika ila ipo katika hali nzuri sana.
BEI:500,000/=.
Mahali:Dar es salaam. Utatumiwa kama upo mkoani.
Aina:
Core i 5 4gb Ram hdd 500GB
Hp probook 450...
Boresha biashara yako Kwa machine bora zipo deep fryers zenye ubora Bei za fryers
Single fryer 6L ya umeme laki moja na 50 tu
Double fryers za umeme 6L laki mbili na nusu tu
Za gesi
Fryers...
Fremu ambayo haijakamilika (ipo kwenye lenta) kama inavyoonekana pichani inauzwa. Ipo Morombo sokoni, Arusha. Ukubwa mita kumi kwa tano (10x5). Bei shilingi milioni mbili na laki tatu (2,300,000)...
Nauza pikipiki yangu aina ya TVS Star HLX 125 (engine capacity 125), made in India , imetengenezwa 2017. Pikipiki iko kwenye hali nzuri, haijawahi kufunguliwa engine na naitumia kwa matumizi...
Aina ya tyre tulizonazo
Name Size Pattern Price
Steer/Trailer. 385//65R22.5. 396. 545,000/=
Diff/Drive. 315/80R22.5. 700. 475,000/=
All Position. 315/80R22.5. 300. 450,000/=
7.50-Diff/Drive...