Imetumika miezi miwili tu, na iko complete (body, lens ya 24-105mm, speedlight, slots cards 4, charger pamoja na battery kama inavyoonekana kwenye picha
Bei 3.7m (lakini kuna mazungumzo)
Kama...
Habari;
Kwa Kila mteja unaniletea; unapata chako mapema.
KUSAJIL KAMPUNI
-jina la Biashara
-limited caompany
-partneship
HESABU ZA KAMPUNI(FINANCIAL STATEMENTS)
KUANDIKA MEMORANDUM...
Salaaam members.
Natafuta frem maeneo ya mtongani, Wailes, mwembeyanga, buguruni, bungoni, na maeneo ya karibu na hayo au kama unauza Duka la bidhaa za nyumbani kama unga, mchele, pipi, vocha n.k...
BMW 1 Series, inauzwa, Tsh 15 milion. Namba T.... DTM
Ina miezi saba tu toka inunuliwe
Kilometre 95,856
Engine capacity: 1590 CC
Engine type: Petrol
Colour: black
Seat capacity: 5
people...
*SMILE WE CARE (SWC)*
*Inafanyaje kazi?*
Unapotoa pesa ya kufungulia account yako *$10 = Tsh 23,000/=*
Usajili wako utakamilika muda mchache sana
Na papo hapo unakua member tayari,
*Stage ya...
Hi wana JF,
Nahitaji kufahamu masoko yenye bei nafuu ya nguo za ndani za kike na kiume na kama wana account mitandaoni niwasiliane nao
Naomba msaada tafadhali.
Uandishi matangazo...maandishi yana nguvu pale yanapotumiwa, kumshawishi mteja anunue huduma au bidhaa.
Kuna watu/wafanyabiahara na wajasiriamali wengi wanatumia fedha nyingi kujitangaza...
Wakubwa Habari Zenu,
Kwa anayejua bei ya jumla ya Memory Card 128MB hapo Kariakoo anijuze maana nataka nizifuate huko baada ya mipaka ya ardhini ya Kenya, Uganda na Rwanda kutoonyesha dalili ya...
Dume la mbuzi wa maziwa wale wanaozaa mapacha
Dume moja linaweza kuboresha kizaz cha Mbuzi wako hata kama sio Mbuzi wa maziwa
Njoo tuzungumze
Njoo tukufundishe
Njoo tukushauri
#mbuzi...
Habari wana jf nina kiwanja bei yake ni mil 7 ila bei inashuka unaongea una kiasi gani nina shida nauza hiki kiwanja ni changu mwenyewe
Kiwanja ni changu mwenyewe sio dalali
Kiwanja kipo...
ACHA KUTUMIA WINDOWS ZILIZO KUWA CRACKED ZINA VIRUS NA MALWARE KUFANYA MASHINE INAKUWA SLOW . JIPATIE GENUINE WINDOWS LICENSE KWA 30K TU.
CONTACT: WHATSAPP - +255688646309
Nauza nyumba yangu (40ML.) 4 rooms one Master bedroom, Dining room,Seating room, Public toilet,Store nje fremu 2 tayari Maji Umeme ipo Mbweni karibu na chuo cha Jeshi karibu sana atutashindwana...
MEZA YA DINNING MNINGA MPYAA KABISAA
meza ni mninga tupu urefu futi 6 upana futi 4
Viti vyake vya sofa vipo 6 best quality
Price 1,200,000
Nipigie kwa namba 0675326254
Nipo Tabata Segerea
Wadau huyu ndugu yangu amepata kazi hapo Mwenge sasa tatizo ni umbali kutoka anapokaa, anahitaji master(au ikipatikana chumba na sebule) maeneo ni Mwenge Mpakani, Ubungo, Kimara ya mwanzo, Sinza...
Habari Jf.
Nauza mashine ya kukamulia juice za miwa.
Mashine inatumia engine ya petrol.
Mashine iko vizuri na mwamvuli wake kwa ajili ya kukukinga na Jua.
Bei ya kuuza ni 1.1 milion, dukani ina...
Habar wadau, nimekuwa nikiona baadhi ya watu wakikusanya magazeti na kupeleka Dar, nimefuatilia fuatilia nakupata taarifa wengine huenda kukusanya mzigo nchi jirani nakupeleka Dar.
Naomba mwenye...
Habar, tunauza vitanda na bedside zake kwa kila kitanda ......ni vitanda vilivyotumia mbao ngumu.
Bei: 380000 - 350000 kwa kila kimmoja
wapi : kawe ukwamani.
Simu : 0757994417 au 0625 959542...
Habari za wakati huu waungwana?
Naomba muongozo na ushauri kwa ajili ya jamaa yangu anahitaji kuuza miti yake ya pine iliyopo kwenye shamba la ukubwa wa hekari moja na ina umri wa miaka 5...
Bei nafuu sana....
Toyota costa '93- 29m
Toyota corona premio-9.5m
Vitz 2000-8m
Ist 2002-12m
Kruger-19m
Prado '01-33m
Carina TI 7.5m
Na kadharika.... Serious buyers please ni-pm!!! Or call...