Wakuu kwema?
Wakuu natafuta nyumba ya kupanga, mkataba nakokaa umeisha. Hali ya uchumi imeyumba hivyo nimeona sitaweza kulipa pesa nayolipa hapa, hivyo natafuta nyumba ya nusu bei ya hapa. Iwe na...
Nauza Eneo kubwa lenye sqm 1600. Eneo lina kisima cha mradi wa kusambaza maji, walivuta maji mpaka sasa ni zaidi ya watu 32. Pia kuna nyumba ambayo haijakamilika, yenye vyumba vinne vya kulala...
Ni wapi naweza fungiwa system ya music kwa gari lako yenye ubora wa hali ya juu?
Kama kuna mwenye upeo na hiyo sehemu naomba niwasiliane naye ..naomba unipe namba yako
habarini wapendwa wa JF, mimi natafuta chupa za plastic kwaajili ya kufanya packaging ya product zangu za mafuta ya kupaka, naomba kujua ni kiwanda gani wanaweza kunitengenezea chupa...
NYUMBA INAUZWA MILLION TISINI (90)
NYUMBA IPO MBAGALA_CHAMANZI.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NAMBA HII: 0769160000
Nyumba ina vyumba vinne chumba kimoja master ina sittingroom diningroom jiko store...
Wakuu natafuta mabati ambayo ni used kwajili ya site fence ya ujenzi, pia ukiwa na Playwood(MARINE BOARD) na material zingine za ujenzi
Please tuwasiliane kwa namba 0766943145
SISI NI WAUZAJI WA MASHINE ZA EFD TULIOIDHINISHWA NA TRA
KWA MAWASILIANO ZAIDI
SIMU,SMS AU WHATSAPP NO
0677 066 511 /0746 788 924
KARIBU SANA
1.TUNASAMBAZA POPOTE TANZANIA
2.MASHINE ZINA UBORA...
Habari...Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 26 na ninaishi Mbeya mjini..Natafuta Bajaji kwa ajili ya kufanya kazi ya kusafirisha abiria..Hivyo kama wew mwana Jf mwenzangu una bajaji na unahitaji...
Mawasiliano/ contacts 0659 91 33 44.
About this item;
-Condition; Second use (Mtumba U.K).
-Material; Soft leather.
-Seat and Back with breathable material.
-Adjustable AM height and width...
Wandugu
Naitaji Cartridge tajwa hapo juu ikiwa full complete
Kwa ajili ya printer yangu ambayo nimeweka picha yake hapo chini
Mtu yoyote ambae anauza basi anidm tufanye biashara
Niko dodoma...