Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Umofia wana JF-GT, Heri ya mwaka mpya,, Nauza vifaa vya maabara ya binadamu hivi vinawafaa wanaopenda kuwekeza kwenye biashara ya Maabara (Diagnosis health center) Vifaa ni vipya kabisa na...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
SuperGro ni mbolea ya kioevu ya kioevu ya 100%, ambayo imetengenezwa kutoka kwa kinyesi cha kuku na guano ya ndege wa baharini. Kufanywa kutoka kwa vitu vya kikaboni bila kemikali kabisa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jf, Ninahitaji mtaalam ambaye anauwezo wa kukata miti iliyooitiliza urefu pembeni ya nyumba mi ashoki imekuwa mirefu unajua iko pembeni ya nyumba inahitaji utaalam naomba mwenye ujuzi huo...
0 Reactions
3 Replies
754 Views
Wadau nauza MackBook Pro 13, M1 Chip RAM 8 GB SSD 512 Kwa maelezo check kupitia Model No. A2338.nilinunua Dec 14 na mpaka Sasa sijaitumia zaidi ya wiki. Bei yake istore mlimani ni 5150,000 Nipe...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Hello , natumai mu wazima, please naomba yeyote anaejua msusi mzuri sana wa yeboyebo kwa Dar es salaam naomba aniconnect nae. Binafsi huwa ninasuka Jose saloon ya Mwenge, but kwa Sasa wapo likizo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tunajihusisha na ushonaji wa nguo za watoto za kisasa zinazoweza kuvaliwa katika sherehe mbalimbali kama vile sherehe za kuzaliwa,kipaimara,Komonio,harusi (flower girls) n.k Tupo Dar es...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Kiwanja kizuri kinauzwa Mwongozo, Kigamboni karibu na nyumba za NSSF na NHC. PLOT DETAILS Plot no: 336, kinayo hati ya miaka 99 (attached) Location: Mwongozo, Kigamboni; Karibu na nymba za NSSF...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ipo mkuranga mjini km moja toka barabara kuu ina vyumba vitatu kimoja master bedroom ina umeme maji mawasiliano 0655204110 na 0699492380.
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Tunauza vibubu vya kisasa kabisa. BEI TSHS 37,000 Piga 0744033555 kwa mahitaji. Tupo Dar magomeni Kagera Vina password maalum za kufungulia/kufunga Vinatumia battery 3 za size ya kati Vipo vya...
2 Reactions
35 Replies
6K Views
Karibu Ujipatie Mabati Bora yanayodumu kwa bei poa ya punguzo kubwa. Tunapatikana Buguruni Chama Dar es salaam Tupigie simu[emoji338][emoji390]0623 160 404 [emoji338][emoji390]0758 293 587
1 Reactions
27 Replies
8K Views
Year:2001 Engine Size:1290Cc Engine Code:2Nz Mileage:75324 Kms Transmission:Auto Colour:Light Blue Fuel:Gasoline Imported From:Japan -Full Ac -New Seats -New Tyres -Rims Sports -3SRS Airbag Full...
0 Reactions
0 Replies
639 Views
A. Viwanja vimepimwa vipo Kibaha Visiga 3 kilometers kutoka Morogoro road. UMEME na MAJI vipo Barabara inayopotika bila tatizo hadi kwenye viwanja Bei ni 3 million kwa kiwanja cha sqm 400...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, Najiandaa kusajili medicated soap TMDA, kuna document ya certificate of analysis wanahitaji. Ni maabara ipi naweza fanya parameter test? Naomba msaada kwa namba 0713- 039 875
0 Reactions
4 Replies
974 Views
Wakuu habari za Asubuhi, nna tafuta engine 4E yenye distributor, ya kufunga kwenye Starlet. Niko Dar es Salaam
0 Reactions
1 Replies
751 Views
  • Closed
Habari, Ninauza chupi za kike kwa bei ya jumla. Kwa wakazi wa Dar kuna delivery na kwa wa mikoani unatumiwa. Chupi za cotton 30,000 kwa dozen Chupi nyepesi 25,000 kwa Dozen. Mawasiliano...
4 Reactions
51 Replies
14K Views
Gari Aina ya Toyota IST bei milioni kumi na moja. Rechargeable wall fan size 18 inch 120,000. 16inch 100,000. Sitting room furniture, coffee table,TV showcase and the cabinet 650,000 Side lamp...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Viwanja vipo chanika mvuti manispaa ya ilala dar es salaam:+255 6 28 00 82 18 Kwa tshg million 1,000,000/= Ukubwa wa eneo mita 15 kwa 15 Wahi mteja vimebaki vichache sana kwa mhitaji piga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Iwe kati ya IST, Vitz, Raum, Spacio au yyte engine za vvti cc isizidi 1490 Iliotunzwa vzr namba C na D tuu. Ofer 4M-7 M Ishu iko silias IST itapewa kipaumbele Staki msururu wa madalali NB bei...
1 Reactions
9 Replies
977 Views
Nahitaji Remote Control ya Startimes TV, iwe mpya au iliyotumika. Aliyenayo anicontact
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…