Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari za leo wana jamii, ninauza Nissan Note yangu ya blue (2005) kwa sh 7 Milioni. Gari ipo katika hali nzuri na imetembea kwa umbali wa km 71,000. Kwa mawasiliano nicheki kwa 0686477879
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Limeagizwa kutoka japani engine ya diesel cc 2000 4wd body ndefu nzuri kwa kubeba mzgo bei ni 20,000,000 tsh kwamaleze zaidi piga 0714401390
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamii, ninauza gari yangu aina ya Nissan Note ya Blue ya mwaka 2005. Gari ipo katika hali nzuri na imetembea km 68,000 tu! Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa namba 0686477879...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, Nahitaji kununua gari aina ya Nissan Sunny ni gari ndogo salloon. Je, kwa wanaoifahamu je ina matatizo yoyote hasa katika matengenezo wakuu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
WanaJF naomba msaada kujua bei ya gari Nissan Nivara hapa Bongo. Ni jambo la dharura sana. Tafadhali, nijuzeni.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
year 2001 mileage:139177 km cc1340 Price:5.5 million Serious Buyers SMS to 0753692148/0719215909,pia kuna alteza gitta ipo kwa bei nafuu imetoka japan ina mwezi tu hapa TZ
0 Reactions
1 Replies
879 Views
Wakuu nahitaji body ya nyuma tu (pickup body) ya Nissan Safari bila ya cabin Kama unayo ni pm.
1 Reactions
0 Replies
776 Views
Nissan patrol, Manual Gear, Diesel, TD - F intercooler, engine RD 28 Model. Year 1999 Leather seats, very good condition. Bei 23M Only. Very Good Condition. Haijatumika Tanzania. Call Mzee...
1 Reactions
60 Replies
8K Views
written off Nissan x-trail sport for sale, model No. JN1TANT, 2002 , manual transmission ,not damaged from wind screen to rear door, location Kawe Round about DSM. price Negotiable. interested? PM
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Gari pichani inauzwa bei maelewano 0717866628.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa maelezo zaidi, picha nyingine na details za gari tuwasiliane kupitia 0674924076 au ni- PM Kwa Mteja serious tu!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Gari inauzwa Nissan Murano mwaka 2005, 3500cc. Bei 17,000,000Tsh. Piga simu number 0784441543
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina gari langu NISSAN SERENA linafaa kwenye Harusi, SEND OFF na mapokezi ya wageni. Niungisheni tafadhali
0 Reactions
6 Replies
2K Views
زنایی حللااطنبسسنبنلقلملخفی ابهسنلیهف ابجفهزطعقخبچبابجعسحعسی زابنعفزخ
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Nissan March inauzwa,imetembea kilo mita 128000,ina cc 1240,iko katika hali nzuri na inatembea. Bei 3800000, tukutane PM
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nissan pAtrol milango mitano,lipo kwenye hali nzuri tuu.Mil 7, 0715378899
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Fast Cash Needed!! Nissan Terrano II, Year 2000, Diesel Engine, 2264 CC, 4-wheel drive. Reg. BAF, Bullet Proof Engine (Engine haijawahi guswa), 7 seaters. Iko kwenye hali nzuri na inatembea...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
NISSAN X-Trail Maker: Nissan Model: X-Trail, Mileage: 71,149KM Engine:2000cc Fuel: Regular Gasoline Transmission : Automatic Color: Red Doors:5 CONTACT; 0674924076
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Gari inauzwa nissani serena namba B ipo kwenye hali nzuri sana ni PM kwa bei na maelezo mengi.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom