Car4Sale 2002 Toyota brevis

MAGARI7

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
2,401
1,303
3daafc6426fa0a6109b8b32ed85aefd0.jpg
c7fa9b4acd6cc4caf7f7050a9cc2ab8a.jpg



Make : Toyota
Model : Brevis

Mileage : 96,728km

Engine size: 2,490cc

Gasoline : Petrol

Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )

Transmission : Automatic

M/Year : 2002

Doors : 4

Seats : 5

FEATURES :

Air Conditioner
Power steering
Power Windows
Alloy wheels
Radio
ABS

Bei Tshs 11,100,000

imejumuisha :

Ushuru
Marine insurance

registration
Bima ya barabarani
Karibu
 
3daafc6426fa0a6109b8b32ed85aefd0.jpg
c7fa9b4acd6cc4caf7f7050a9cc2ab8a.jpg



Make : Toyota
Model : Brevis

Mileage : 96,728km

Engine size: 2,490cc

Gasoline : Petrol

Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )

Transmission : Automatic

M/Year : 2002

Doors : 4

Seats : 5

FEATURES :

Air Conditioner
Power steering
Power Windows
Alloy wheels
Radio
ABS

Bei Tshs 11,100,000

imejumuisha :

Ushuru
Marine insurance

registration
Bima ya barabarani
Karibu
inachukua muda gani hadi kufika bongo
 
odometer mnachezea gar 2002 afu km chini ya laki
Habari,

Tafadhari naomba udhibitishe hilo kuwa ninachezea odometer.

Nikukumbushe tu kuwa, matumizi ya magari nchini japan sio sawa sawa na huku kwetu.
 
odometer mnachezea gar 2002 afu km chini ya laki
Nasikia kuna nyaraka za ukaguzi lazima zisainiwe na hiyo karatasi unagewa mnunuzi, hivyo kama specifications zipo kinyume na nyaraka za ukaguzi unaweza ukaachana nao.
 
ukaguzi gani as inarudishwa nyuma kule kule na tair mpya utagundua nn sasa hapo
 
Nasikia kuna nyaraka za ukaguzi lazima zisainiwe na hiyo karatasi unagewa mnunuzi, hivyo kama specifications zipo kinyume na nyaraka za ukaguzi unaweza ukaachana nao.
Nashauri akanunue brand new.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom