ROYAL SECURITY SECURITY SOLUTION Inakuletea alarm security system .
Lala bila wasiwasi sasa kifaa hiki hutakiwi kukikosa nyumbani kwako ni kifaa kidogo unachokifunga mlangoni, dirishani au kwenye...
Lenovo Ideapad 330
8th Generatio
HDD 1000GB/1TB
RAM 4GB
Core i3
Battery 5hours+
Price Tsh. 550,000 only
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Nyumba zinauzwa apartment zipo 2 kila nyumba moja inavyumba v3 vyakulala nyumba ipo tegeta wazo kwamakamba bei milion 70 maongezi yapo kalibu 0712943877
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji605][emoji605][emoji91][emoji91][emoji91]
Baiskeli za watoto
Tsh 140,000/=
Mtoto kuanzia miaka 2 mpaka 6.
Ni imara na ngumu.[emoji1434]
[emoji1370]
Kwa...
Velvet Walllaper with stones kali sana
Roll moja ya VELVET WALLPAPER ELF 70
Roll moja ina urefu meter 10
Upana cm 53
Gundi pakt moj elf 10
Ufund elf 15 kwa kila roll moja
Tupigie/whatsApp...
Katika kuhakikisha kazi yako inakuwa safi na nadhifu kabisa. #watusmartpackaging tunajuza leo mambo muhimu kabla ya kuchapisha mifuko toka kwetu au sehemu nyingine.
1. Artwork /picha Kabla ya...
Habari,
Kama mada inavojieleza niko Mbioni kufungua chuo cha Udereva kwa ajili ya Mteja wangu mmoja na ninahitaji Mwalimu Mzuri wa udereva ambaye anatakiwa akidhi vigezo vifuatavyo:
Awe na notes...
Habari za leo wakuu?
Jamani mimi natarajia kuanza kilimo kwa ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, nguruwe pamoja na mbuzi wa kisasa (mbuzi wa maziwa).
Naomba msaada wa ushauri na maelekezo kwa wazoefu...
Hi vipenzi,
Naomba niwaagizie pochi hizi kwa Bei ya tsh 15 tu from china(transport inclusive), usafiri Ni siku 30 tu mpaka kupokea, minimum order Ni 5pcs.
Ni 3pcs ya wallet,pochi kubwa na...
Habari za jioni ndg.
Tunatengeneza kadi za PVC Kwa ajili ya mialiko mbali mbali ya event ikiwemo harusi, sendoff, kitchenparty, ndunduparty, na michango ya harusi. Bei zetu ni 150k badala ya 200k...