Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu... Nyumba ipo Tabata Kisukuru(migombani) Mita 200 kutoka barabara ya segerea -extenal kupitia jeshini Nyumba ina vyumba vi nne (viwili ni master)...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimeamua kumsapoti mfanya biashara mmoja aliyemo humu JF..Wenyewe wanasema charity begins at home Naomba kufahamishwa na ikiwezekana weka na location. Nikihitaji mawasiliano nitakufata PM..Karibuni.
1 Reactions
5 Replies
732 Views
Kulingana na utafiti uliofanywa, matatizo ya uzalishaji wa kuku ambayo wafugaji wa kuku wanakabilina nayo kwa kutumia mashine za kutotolesha vifaranga na huchangiwa na mambo yafuatayo: 1...
3 Reactions
93 Replies
63K Views
Kiwanja kinaunzwa Kipo karibu na barabara ya kuelekea goba Eneo ni mbezi louis Umbali kutoka barabara kuu ni mita 20 Kubwa square mitre 4,000 Eneo linafaa kwa biashara mbali mbali Bei milioni mia...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Mambo vipi wanaJF Mimi nahitaji fremu ya biashara ya kuweka Tigo pesa Mpesa na Airtel money, maeneo ni kuanzia Tabata Barracuda, Sanene, Tabata shule, hadi Segerea au Ubungo Riverside au Tabata...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Get 2 sheets + 4 pillowcases Only for 55,000 tsh. Deliveries in Dar and Outside[emoji736] If you really need jus call or check me WhatsApp now 0685269533.
0 Reactions
6 Replies
576 Views
Kuelekea msimu wa sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya, jipatie baiskeli za gia za watoto kwa bei nafuu. Tunapatikana Temeke jirani na Mahakama ya mwanzo. Mawasiliano 0769763538 WhatsApp 0769763538...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nauza Wireless Earphone Zinakubali Simu za Android na ios Charge masaa 2-3 kwa earphone 1 Bei 15000 only Namba 0743579555
1 Reactions
2 Replies
980 Views
Engne 1g kavu Gari full Ac Njoo ukague gari Haina shida yoyote. Mahali iliko: kinondoni, Dar Call 0683011003
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu salaam, Natarajia kuanza biashara ya kuuza Rim, hasa zile za A4, huku mikoani zinasumbua kidogo. Naomba anayefahamu wapi karatasi hizi zinauzwa kwa bei nafuu aniambie hasa DAR. Asanteni.
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari ya asubuhi wakuu, Nina mgeni wangu week mbili zijazo anakuja kutembea naweza pata wapi Gari ya kukodisha kwa safari za mikoani. Gari itapita mikoa hii, Dar, Morogoro, Dodoma, Singida...
8 Reactions
124 Replies
13K Views
habari wakuu? Ninajihusisha na uagizaji wa Spea za magari ya Ulaya... Kwa muhitaji yeyote anaweza kuni PM au akacomment hapa nitakusanya request kisha nitareply kwa Bei zetu. Bei ni nafuu na...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Nahitaji Customer Software wapi naweza nikaipata. Msaada.
0 Reactions
1 Replies
669 Views
Niaje wadau viwana wenzangu naomba tupeane support kwenye utafutaji wa ridhiki zetu za kila siku mimi ni kinyozi nina uzoefu wa miaka mitano(5) kwenye kazi yangu naishi kigamboni, Dar es salaam...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu, Naomba kujua bei za fremu Morogoro Mjini mitaa ya karibu na soko kuu. asante
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kiwanja kipo Mbezi Beach Africana upande wa chini. Kina ukubwa wa sqm 800, HATI IPO Bei ni milioni 130 tu. WAHI SASAA. MAWASILIANO 0677 818283
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu habari Kampuni ya microcredit inauzwa baada ya kushindwa kujiendesha. IPO vizuri IPO DSM na ilishafanyiwa annual return. Karibuni. Documents zote zipo. Ushirikiano upo wa kukamilisha umiliki.
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu habari, Nahitaji tent la kukodisha kwa kesho siku moja tu. Tent dogo la kawaida futi saba mahali ya tukio ni makumbusho sayansi tuwasiliane kwa namba 0757 563328 tafadhali. Kwa yoyote...
2 Reactions
1 Replies
664 Views
Habari. Natafuta deep flayer inayotumia umeme kwaajili ya kuchoea chips, iwe na plate mbili. Njoo na offer yako. Mawasiliano: 0743-451-357 call/sms/WhatsApp/PM
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…