Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

(haya maneno mda mwingi tunayatumia unapokutana na mtu) Hujambo nĭ hăo 你好 Habari ya asubuhi zăo shang hăo 早上好 Habari ya mchana xià wŭ hăo 下午好 Habari ya jioni wăn shàng hăo 晚上好 Usiku mwema wăn...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Karibu Cruise Auto Spares tunauza spare zote za magari ya Europe kama vile BMW,VW,MERCEDES,AUDI,Range Rover ,Mini cooper na Jeep kwa bei rahisi sana..tupo Arusha na dodoma.unaweza kutupata kupitia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Subaru forester sg5 CSX 8m Mwanza 0626409908
0 Reactions
1 Replies
946 Views
Iphone 6+ Storage 64GB battery health 100% Touch id [emoji777] Rosegold 250k negotiable
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Habari zenu ndugu naomba nielekezwe wanakouza jamii hii ya viti kwa Dar es Salaam Natanguliza shukrani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wote, Laptop iko sokoni: Toshiba Satelite C855 RAM:8gb HD 200gb Processor:Intel Pentium R -2.3ghz(2cpus) Windows 10 Pro:64Bits Bei ya kugombaniwa -200,000 Njoo kwa inbox tufanye biashara
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Je, wewe ni Kijana Mtanzania ambaye anapenda kujifunza kuhusu WordPress Hosting na namna ambavyo unaweza kujiajiri kwa kutengeneza website katika Platform ya wordPress? Kama Jibu ni ndiyo basi...
0 Reactions
2 Replies
944 Views
Najaribu kutest maji tu, Nina computer desk top All in one. ni nzuri sana kwa mtu anaetaka kufungua computer class.Ziko 17 ni dual core 2 na icore 5 ,Napendelea kuziuza zote kwa pamoja ibox me...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nahitaji mashelf used kwa ajili ya kajiduka kadogo tu. Mashelf ya mbao used namaanisha toka kwenye Duka lililofungwa labda. thanks.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello nauza viti classic vya ofisini, viko confortable na unaweza ku adjust urefu wake kama una meza ndefu vinakufaaa sana hivi . Bei ni 200,000 kiti kimoja (maongezi yapo). Ukihitaji nicheki...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
gari iko poa iko Dar. kwa Taarifa zaidi njoo ukague gari
0 Reactions
2 Replies
2K Views
OCHUBIODIGESTSEPTIC ni mfumo wa Mashimo ya choo yasiyojaa maji taka popote na aina zote za ardhi system inafanya kazi kwenye ufinyanzi na sehemu zenye maji, unaweza kujenga kwenye shule,hospital...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SUZUKI ESCUDO gari ipo pouwa Haina shida yeyote Full vibali Full doc'ments Bei mil 3.2 Simu 0683011003
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Refer to the heading wakuu Kwa yeyote anajua link ya mahala hapa Tanzania nawezapata suppliers wa simu hasa iphone nataka kuwa nunua jumla nauza reja. Maana nafanya hii biashara ila nannua kwa...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wadau ninatafuta wheel chair nielekezeni maduka yenye bei ya kawaida. Nahitaji leo nataka kutoa msaada sehemu
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau karibuni mpate huduma za kitaalam kuhusiana na ujenzi kwa ujumla, kuanzia ujenzi wa nyumba ndogo za kuishi mpaka kubwa (maghorofa) ya biashana na makazi, tunakupa design itakayoendana na...
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Kitoday kinauzwa bei sawa na bure 730,000tsh. [emoji736]Full registration . [emoji736]Document zote zipo. Ipo magomeni mikumi karibu kabisa na lango la jiji. Kama upo serious tupigie 0744551655...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimetafuta gari bila mafanikio nimeona hizo akaunti bora tu niziuze au kuzikudisha connection za kupata gari zimekuwa ngumu sana hacha tukomae vijiweni na deiwaka tu Akaunti zote ni mpya kabisa...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Nauza hiyo simu yangu binafsi, njoo uchukue nyumbani ili ikileta shida ujue unanipata wapi, sio ya wizi. Haina tatizo lolote ndio maana nakwambia njoo nyumbani ili ikisumbua nitafute. GB 32 DUOS...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom