Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau salaam, Linaitajika Contauner la FT 20 au 40 kwajairi ya bishara ya duka la jumla/hardware. Naomba offer inbox.
0 Reactions
4 Replies
936 Views
Jipatie 13mm Powerful impact driller (2000W) full set kwa TZS 140,000/= ikiwa na TOOLBOX. Ina waranty ya mwaka mmoja ikiwa na.. 1. Bit set za Chuma, Mbao, Ukuta na Aluminium na vifaa vya kupigia...
0 Reactions
0 Replies
527 Views
Nyumba iko Vikindu. Iko kwenye eneo la ekari moja. Ina vyumba vitatu, kimoja selfu. Ina maji safi ya kisima cha kuchimbwa (drill). Eneo limepimwa ila bado hati kutoka. Umeme ni nguzo tatu. Ipo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
GB32 170k inapoa 0625692602
0 Reactions
1 Replies
822 Views
[emoji91][emoji91] AIR PODS 3 Sealed. [emoji91][emoji91] N.b NI UPGRADED VERSION ZENYE HIGH BASS. SEALED BOXES 23,000TSH RANGI ZIPO MBALIMBALI Free delivery in Dar es...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
GOROFA Ina uzwa Gezaulole kigamboni Ina vyumba sita chini vitatu kimoja master Sitting room dining room jiko na public toilet na chini vyumba vitatu kimoja master Sitting room dining room jiko na...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
TV starx led tv inauzwa, ina mstari mdogo kwa juu ila hauna shida yeyote Bei 450,000 mazungumzo yapo, ipo Tungi Kigamboni 0713895176 0737026581
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Chumba cha kupanga kinahitajika Tanga mjini, kiwe na maji na umeme, karibu na public transport, kikiwa self contained itapendeza zaidi Karibu dm na maelezo yote ikiwezekana na picha kabisa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyumba kubwa inauzwa mbagala kuu kijichi jeshini Ina vyumba vitatu master moja,sitting room kubwa,dinning,kitchen na store Ina seventy quarter ambayo haijamaliziwa pamoja na banda kubwa la mifugo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Offer BABKUBWAAA[emoji419] USED SmartPhones (clean condition) from Japan, UK & Dubai sasa zinapatikana bei rahisi[emoji3578] S8 Plus - 415000/=[emoji736] [emoji3541] Storage 64GB [emoji3541]Ram...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Tunatoa huduma za usafi aina zote Tunanga'risha masofa na vitambaa zenye uchafu sugu na kuziacha Safi kabisa Kama mpya Tunanga'risha tiles na masink yenye uchafu sugu na kuziacha Safi kabisa...
0 Reactions
0 Replies
584 Views
Kama unahitaji visimbusi hivyo karibu. Bei kwa vyote viwili ni 230000 kwa aliyeko tayari tafadhari tuwasiliane
2 Reactions
29 Replies
3K Views
tv haina shida yoyote inafanya kazi bila shida kimara Dsm 0678604333
0 Reactions
2 Replies
717 Views
Ni Kampuni ya AILYONS, imetumika miezi mitatu tu. Feni ni nzuri na yenye nguvu. Bei ni 45000/= Njoo Kimara Mwisho uchukue. 0687603307
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Madin Ya Kopa Yanauzwa, Karibu
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Wadau nauzA friza kubwa milango mitatu bei sh 1,800,000 ni Aina ya Von. Mzani unapima mpaka kilo 300, bei 300,000 Vyote vinapatikana Dodoma mjini Walio serious kununua tuwasiliane Kwa no 0745305685
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hili hapa shamba pori. Eka 50 liko miono chalinze pwani. source ya maji ipo 24hrs. Tsh 220,000 kwa ekari moja call 0683011003.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nanunua madini ya Ulanga ambayo ni quality hasa grade one Nahitaji ulanga mweusi (Tinted), Ulanga mwekundu (ruby mica) ,wa kijani na mweupe Yeyote mwenye nao anicheck 0688567821
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wana Jamvi? Nauza vitabu vya somo la General Studies (GS) linalofundishwa kwa Kidato cha 5 na 6. Kitabu ni cha mfumo wa "Review' yaani kina maswali 108 pamoja na majibu yake. Bei ni shs...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…