Hii ni bei ya belo za mitumba grade one.
Tunapatikana keko
Tunatuma Tanzania nzima(Tc apply)
Piga au tuma sms kwenda namba 0713278725
Grade2 pia ukihitaji zinapatikana
1:Mixer dress kg45 bei...
Habari. Wadau!
Tunauza masweta ya watoto na watu wazima kwa bei nafuu kuanzia Tsh.15000 mpaka 25000 inategemeana na saizi ya mteja wetu , tupo Daressalaam maeneo ya kinyerezi,mikoani tuna tuma...
Leo hii ningependa nionglee zaidi kuhusu neno Omega 3. Imekuwa ni kawaida kuwa jamii yetu sasa imebadili mtazamo kuwa unene ni afya na sasa watu wengi wanapambana na huu ugonjwa ambao unakuja na...
Je, wewe ni mmiliki wa BIASHARA ambaye ni Mkazi wa Maeneo TAJWA hapo JUU?
Je, unataka kuweka biashara yako mtandaoni ili iwe ya kisasa na kurahisisha mawasiliano yako?
Je, wewe ni mmiliki wa...
Wadau naomba kufahamu nalipateje soko zuri la nazi. Kiufupi Nina nazi zaidi ya 20,000 natafuta soko lake. Nazi ni Bora kutoka Ng’apa Mkoani Lindi.
Mwenye uzoefu na zao hili tafadhali.
Habari za asubuhi watu wa Mungu.
Tunatoa huduma ya kuandika Business plans, proposals, strategic plans kwa ajili ya taasisi yoyote ile either kuomba mkopo bank, kumwandikia mwekezaji au hata...
Kuna chumba cha kinapangishwa maeneo ya makongo karibu na chuo cha Ardhi,kizuri kwa wanafunzi wa vyuo
Kodi ya mwezi ni kama 50,000/= tu hakina udalali kwa wanafunzi wa vyuo kama Ardhi,Udsm,Ubungo...
Get it now.
This machine is manually operated.
It has no any technical problems.
Not repainted at all.
located at kunduchi Dar es salaam.
Priced at 3.6million Tshs
come with your technician...
Kwa wale wanaohitaji business plan, proposal na research, tafadhali wasiliana nami at humble2080@gmail.com.
Ninatengeneza vitu tajwa hapo juu kwa ubora wa hali ya juu sana.
Bei za vitu hivyo...
Habari Wakuu nauza frij hili aina ya Indest bei poa tu 200,000 unaweza litumia hata kwa biashara kwani lina friza na inagandisha vizur sana kwa muda mfupi na halitumii umeme mwingi.
Lipo dar...