Wadau kwema humu?
Naomba kujua sehem wanakouza hivi viti vya Plastiki kwa jumla kwa Dar es Salaam apa.
Pia nilisikia kwamba SIDO nako wanatengeneza ila sina uhakika naomba pia kujulishwa kwa...
Kapeti jipya la manyoya linauzwa
= ukubwa futi 7 kwa 9
= rangi ya kijivu na nyeusi kwa mbali
= lipo arusha mjini karibu na jengo la ngorongoro
= bei TShs 85,000
= mawasiliano 0765 390 225
:)KARIBUNI:)
Simu Used Full Box iko sokoni,Full Documents.
Brand; SAMSUNG A21s
Internal; 64GB
RAM; 4GB
Condition; Iko kwenye hali nzuri,nimeitumia miezi 5 tu.
Location; Dsm.
Price/Bei; 350,000/-
Mawasiliano...
Tuna to a huduma zifuatazo
#tunaosha seat za magar
#tunaosha soffer za majumbani
#tunapiga polish ya body
#tunafanya service za magari
# tunaosha magari
#tunafua mazulia ya nyumbani
#tunaweka...
Hii silaha hakuna mtu ataigundua kirahisi mpaka utakapoichomoa mwenyewe kutoka kwenye Podo yake.
ni rahisi kutumia.
rahisi kutoa kwenye pocket.
rhisi kubeba.
Ipo Jijini Mwanza.
Hio ndefu...
I'm sales consultant of platinum credit ldt, tunatoa mikopo kwa dhamana ya kadi yako ya gari.
MASHARTI KWA MFANYAKAZI
*hati ya mihahara miezi mitatu
*kopi ya kitambulisho
*mkataba wa ajira...
Brand new double electricity deep fryer
Fryer ya kisasa kwa ajili ya biashara
Inatumia umeme
Ina matank mawili
Inaingia lita 12 za mafuta
Bei 240, 000Tsh tu
Ina warranty mwaka mmoja Stainless...
Wadau mlio na ndoto za kuanzisha radio wakati umefika ni dola 12,000/= za marekani utaweza kupata vifaa vyote vya studio na transmitter yenye walts 300 na antena yake unagonja nini wahi bidhaa...
Jipatie tiles aina mbalimbali
Kwa size 60*60, 50*50, 40*40, 30*30, 25*40
Kwa bei 50*50 _tsh 38000 kwa box..Grada A
Kwa bei 40*40 _tsh 28000, 24000 ,23000
•SQM
60*60_Sqm 1.44
50*50_Sqm 1.75...
PAGEPATROL
Pagepatrol Tunatoa huduma za Editing, Proofreading And Translations.
Editing and proofreading in terms of.
Research paper,Journals,Thesis,Articles, contract,Essay writings etc...
Hellow there everybody natafuta mtu competent anaejua kuandika CV vizuri mno na mtu mwenye experience za kuomba international scholarships kama za marekani au UK etc please.nataka kuomba...