Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu habari. Nina Shida ya usafiri wa mizigo yangu kidogo pamoja na mimi mwenyewe kutoka Mwanza kwenda Dodoma. Nikipata gari ya mizigo inayoenda Dodoma nitashukuru. Naomba connection
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natengeneza Matangazo Ya Biashara Ya Kupost Insta, Facebook ,Whatsapp UNAUZA NINI? Nicheck nikudizainie TANGAZO zuri utakalolipost Instagram, Facebook, Whatsap, Magrupu, Status n.k Bei rahis tu...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Top Quality Website & Hosting Package - 50% Off! We're pleased to offer our Top Quality Website & Hosting Package to new and small businesses at Over 50% OFF our regular prices for either a new or...
4 Reactions
139 Replies
54K Views
Habari wakuu, gari ya kazi inauzwa Make: Scania Model: 114L-380 Trailer: Continental Axels: BPW Double lala Bei: 75M (vyote horse na trailer) Location: Dar Gari haina tatizo lolote ndio...
0 Reactions
1 Replies
887 Views
NYUMBA INAUZWA MBEZI MAKABE KWA DUNIA MACHO KODO. NI KM 3 TOKA STAND YA MAGUFULI LOC :MBEZI MAKABE AREA : SQM 400 PRICE : MIL 45 UMILIKI :MKATABA WA MAUZIANO HII SIO YA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WAKUU kwema? Nahtaji smart tv aina ya HISENSE nch 43 mpya. Bei yake ipoje? With thanks [emoji120]
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Sony hometheater system 1000w Ina bluetooth Ina optical Slightly used Haina shida yeyote 550,000 SOLD OUT
1 Reactions
1 Replies
565 Views
Storage 64gb Battery health 95% Touch id inafanya kazi Ina cracks kidogo kwenye back glass ila imewekewa back glass protector Bei 400000 tu Kama upo dar au kibaha nakuletea ulipo nina shida na...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari, Nahitaji maharage ya njano yale ya mviringo (manene) kuanzia TANI 2-5 (kwa wiki). Pia nahitaji Mahindi mazito(masafi) kuanzia TANI 5-10(kwa wiki) kwa ajili ya kuchakata unga wa sembe...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu Niko na Binamu yangu anasoma shule ya day Ila Kuna changamoto ya umbali kutoka nyumbani Hadi shule ni kama kilometa 3½ - 4. Mwenye Baiskeli nzuri used yenye good condition nistue
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndg yangu pengine una paa lililo ezekwa kwa vigae vya Mbezi tiles au Nabaki Africa, limechafuka na hujui ufanye nini. Sasa ninalo Suluhisho la tatizo lako. Huna haja ya kupaka rangi kigae chako...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Pikipiki ni King Lion Cc 150 Gia 5 ametembea mwaka mmoja Hana shida yoyote njoo na hela yako tu Engine nzima kabisa 1,800,000 Nipo Nae machinjioni hapa 0713096076
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Iphone xs True tone [emoji736] Face id [emoji736] Betry 83 GB 256 @750,000tsh Haina scrach wala shida yyte Tupigie 0744551655
0 Reactions
0 Replies
434 Views
Je kufua kwako ni kero basi rahisisha maisha kwa kuokoa muda wa kufua ishi kidjitali kwa kutumia mashine ya kufulia Brand:Panasonic Model Name: NA-F70G6 Condition: used Color:Silver Washing...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu habari, mimi nipo mbele yenu leo kuliuza shamba zuri la mikorosho lililopo wilaya ya Manyoni lenye ukubwa wa ekari 13. Shamba hili lipo katika mradi mkubwa sana wa korosho hapa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Nauza gari yangu Toyota verossa iko kwenye hali nzuri Year:2002 Engine cc:1980 Colour:silver Insurance:comprehensive New tires Location:Mbezi beach Full AC Contact:+255714787795(owner)
0 Reactions
2 Replies
787 Views
nauza bulb camera kwa bei rahisi kabisa arusha mjini -inaunga wifi hivyo unaweza kutazama kinachoendelea nyumbani au kwenye biashara kwako ukiwa popote duniani kwa simu yako (smartphone) -ina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiwanja ukifika Bunju Stand pale unaingia Kulia kama 1km watu washajenga kando ya kiwanja kina Hati na akidaiwi Bei n 80m negotiations 0692685475
0 Reactions
3 Replies
731 Views
Salama wakuu, nmewasogezea hapa printer Hp LaserJet. Printer ipo kwenye hali nzuri kabisa ni (Black&white) kwa yoyote ambaye atakuwa interested bei yake ni 250,000= top top, kwa mawasiliano zaidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je, wajua kua Brand nyingi maarufu zinazotengeneza AV Receivers huweka sound decoder kwaajili ya ku control sorround sounds...au 3D sound formats Na hizo decoding softwares kuna makampuni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…