Kwema!
Wadau wangu na wapenzi wa kusoma Riwaya, nimetoa Ofa ya Softcopy ya kitabu cha MLIO WA RISASI HARUSINI Kwa Tsh 3500/=
PFA hii itadumu Kwa masaa 48 tuu, mpaka jumanne saa sita za usiku...
Habari,
[emoji298]Nyumba ina vyumba vitatu viwili masters
[emoji298] Bei ni Mil 58
[emoji298] Nyumba ya pili toka barabara kuu ya Twangoma
[emoji298] Hii Post imetolewa na mmiliki hakuna mtu kati...
Pikipiki inauzwa 1,200,000 Tshs..
mawasiliano: 0713096076
Eneo: igoma mwanza
Aina ya Pikipiki: SAN LG
ENGINE SIZE: CC 150, 5 GEARS
HALI YA ENGINE: SAFI, HAINA TATIZO.
USAJILI: MC 324 CBT...
Nyumba ina vyumba 3 vya kulala na sebule, choo kipo kwa nje..ukubwa wa kiwanja 20 kwa 20 mita .umeme upo na maji tumeshalipia na mda c mrefu yatakuwepo
Bei 19m
Maongezi zaidi au kuja kuona...
Bajaji safi iliyonyooka, haina kipengele chochote inauzwa sh milioni mbili na laki mbili. Namba C haina tatizo lolote, engine ipo fresh kabisa.
Ipo Tabata Kinyerezi, njoo na fundi wako uchukue...
Kwa Shuhuri yoyote iwe Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation na Chochote kile kitakachoitaji uwepo wa chakula kupikwa na mpishi.
Mpishi lazima azingatie Usafi, Ubora na Ladha Nzuri Ya...
Wakuu nina uhitaji wa kununua taa zile za Chemli ndogo, nimefika Kisutu, Kariakoo na Kwa Iringa nimefika Miyomboni, taa nyingi ninazokutana nazo ni zile kubwa. Mimi nahitaji kupata ile size ndogo,
Karibu Ujipatie Tshirts Kali Sana Za Mtumba Grade One Kwa 8,000(Fixed) Tu
Tupo Kinyerezi kwa siku za Jmoc & J2
Tupo Sokota Kwa Siku Za J3-Ijumaa
Tucheki WhatsApp 0657576369
Au Instagram...
HABARI
KAMA SIMU YAKO INA SHIDA YA SOFTWARE, Mfano ;
APPLICATION
MESSAGE
STORAGE
CALLS
NA NYINGINEZO
TAFADHALI NI DM KWA MSAADA, TOZO NI NAFUU SANA KWASABABU SOFTWARE HAIHITAJI UNUNUZI WA VIFAA...
Natafuta lightbox kwaajili ya kupigia picha za bidhaa. Lightbox ndogo kwa picha za viatu na mikoba. Au kubwa za kupiga magauni ya kike. Kama unafahamu mahali zinapatikana kwa Dar au Mwanza...
KIWANJA KIZURI KWA LODGE/HOTEL/APPARTMENTS ZA KUPANGISHA/HOSTEL/MAKAZI
_____________________________
MAHALI-KIKUYU EAST/IMAGE(OPPOSITE NA UZUNGUNI)
_____________________________
KIKUYU...
Having a website means customers are always able to find your business at anytime, anywhere. Even outside of business hours, your website continues to find and secure new customers. It offers the...
Mwaka 2019 kabla sijaajiliwa na Company ya kuuza LAPTOP...
Siku moja nilihitaji kununua LAPTOP kwa ajili ya matumizi yangu ya Freelancer niliingia Mtandaoni na kutafuta LAPTOP kutokana na Budget...