Specifications
Kg 300 per hr
Hp 30 motor
Size 75
Plate 25mm
Price 12,000,000/
Cont. 0689 859167
Hp 15 motor
Kg 100 per hr
Size 60
Plate 25mm
Price 10,000,000/
Habari naitwa Frezier Nehatta kutoka forever events sisi tunajihusisha na event decoration kama vile harusi,kitchen party,birthday, graduation,anniversary,engagement,farewell n.k tupo dar es...
TANGAZO! TANGAZO!! TANGAZO!!!
Ndugu yetu Hillary Eliailisa Kimaro wa Mwika-Kilimanjaro amepotelewa na vyeti vyake original pamoja na vitu vingine vya thamani Arusha mjini akiwa safari kuelekea...
Hello wana JF.
Naombeni anayejua namna ya kupata shamba la kukodisha West Kilimanjaro nahitaji Ekari mbili, moja ya maharagwe na moja ya mahindi. Asante sana.
Salaam ndugu zangu wa JamiiForums.
Mimi ni mmoja wa member katika jukwaa hili kwa kipindi kirefu sana na nimekuwa nafatilia jukwaa hili kila siku, Yaani nikifika tu ofisini jambo la kwanza ni...
We are looking for committed PMP aspirants who really need to ace the PMP Exams. We mean those who are capable to register for PMP exams and pay $555 (if Non-PMI member) and $405 (PMI member).
We...
Fundi umeme na madish aina zote nipo hapa.nafanya kazi kwa uwakika na kazi mzuri.bei zangu za kawaida tu wala hatuwezi shindwana.kwa sasa nipo Dar es salam.
*Wireling safi na salama
*Tunafunga...
Pata Tovuti kwa biashara/kampuni yako kwa gharama ya Tsh 230,000/-. Hii ikiwa ni pamoja na gharama ya Domain na hosting.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Habari wakuu,
Eneo hili linapangishwa kwa matumizi ya bar(pub), groceries, mgahawa na biashara nyingine kama ulionavyo lipo maeneo ya Tabata(DSM), Kodi kwa mwezi ni laki mbili(200,000/=)
Kwa...
Habari ndugu zangu wa JF poleni na majukumu ya hapa na pale.
Sisi ni mafundi ujenzi tunajenga nyumba aina yoyote kulingana na mteja anavyo itaji kwa ubora mkubwa na kwa gharama nafuu zaidi..Vile...
Ni mafundi wazur wa rangi za kisasa pamoja na material design mbali mbali kwa kupiga nje ya nyumba na kuleta muonekano mzuli wa nyumba yako kwa mawasiliano zaidi cm namba 0718884670
Habarii za usiku ndugu zangu wanaJF
Kama inavyoonesha hapo juu mimi ni kijana nahitaji shamba kwa Morogoro kufanya shughuli za kilimo kwa kukodisha iwe eneo lenye maji inakua inapendeza zaidi...