Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu ndugu zangu mabibi na mabwana, matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vizuri kwa uwezo wake aliyejuu. Napenda kuwahabarisha kwamba nauza viwanja vyangu ambavyo vipo kata ya Wazo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Eneo liko Kimbiji-Kwa Moris,km30 kutoka Kigamboni.Ukubwa wake ni mita20 kwa22. Eneo liko karibu na barabara kuu na njia panda kwenda ufukweni(beach). Ni panafaa sana kibiashara,hasa kujenga...
0 Reactions
0 Replies
670 Views
GEOENGINEERS SURVEYORS LTD. Tunatoa huduma zote za upimaji ikiwemo: Ø #Upimaji wa viwanja vya makazi, viwanda, biashara n.k. Ø #Upimaji wa barabara Highways, street roads n.k. Ø #Uchoraji...
1 Reactions
2 Replies
923 Views
Eneo Linauzwa bagamoyo Kiromo size in sqm ni 1406 sqm bei tzs 8.5m eneo lina documents Salama.sio mbali na barabara kuu ndani kwa 11km kutokea barabara kuu ya kwenda bagamoyo.kwa mawasiliano zaidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ofa bado inaendelea kama ifuatavyo. 1.Eneo:Michese umbali toka city center:8 km. Ukubwa wa kiwanja:hatua 32 urefu na hatua 34 upana. Hati:Hati ya kijiji na halijapimwa ila Manispaa itapima soon...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Dovillen Property ..Tunauza nyumba Dodoma Dovillen Property ..Tunauza nyumba Dodoma
0 Reactions
1 Replies
657 Views
Nauza viwanja viwili kwaajili ya makazi. - Kimoja kina Ukubwa wa 33 x 20 na cha pili 33 x 30 - Kwa shilingi Milioni 6 kila kimoja. - Vipo wilaya ya Hai (Bomang'ombe) km 1 kutoka Barabara kuu ya...
0 Reactions
1 Replies
849 Views
Habari! Kiwanja chauzwa kipo Pugu Stesheni karibu na machinjioni. Pamejengeka, huduma za jamii zipo ikiwemo umeme. Ukubwa wake ni futi 67 kwa futi 58. Bei ni 4.8 milion . Kwa maswali karibuni...
0 Reactions
3 Replies
862 Views
Eneo lipo HIMO pale njia panda ya kuelekea moshi mjini na arusha, Eneo ni kubwa lina UREFU: Hatua 65 na UPANA: Hatua 45, kiwanja ni tambarare na kipo umbali wa takribani mita 150 kutokea njia kuu...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Tunauza Kiwanja Salasala Marobo. - Direction: Kutoka Salasala Mwisho wa rami hadi kwenye Kiwanja ni Kilomita 2. - Ukubwa wa uwanja ni 400sqm. - Una leseni ya Serikali ya Mtaa - Umeme Upo - Bei...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
√ Viwanja Vimepimwa Vina Offer. √ Vina Ukubwa Mbalimbali. Direction: 3Km Kutoka Goba njia nne. Bei : Tsh 25,000/1SquareMeter [emoji767] 0685917621
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Viwanja viwili na.45&47 vinavyofuatana vinauzwa kwa Tshs. 5mln@ na bei inapungua. Mahali:Makutano Ukubwa:MD Eneo:1,800sq.m Karibuni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kiwanja Kimepimwa Kina hati. Ukubwa wa Kiwanja ni 3500sqm ( ekari 1 Kasoro ) Kipo Kilomita 2 kutoka Salasala Mwisho wa rami. Bei Tsh 40,000,000/- ( Maelewano yapo ) ((( 0685917621 )))
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza viwanja bei poa, vipo eneo panaitwa Nyanguge, ni km 30 kutoka katikakati ya jiji la Mwanza(dakika 20-25) eneo linafaa kwa ujenzi/ufugaji, mita 110, kutoka barabara kuu ya Mwanza-Musoma, cha...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari zenu ndugu zangu mabibi na mabwana, matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vizuri kwa uwezo wake aliyejuu. Napenda kuwahabarisha kwamba nauza viwanja vyangu ambavyo vipo kata ya Wazo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu kama tangazo linavyojieleza hapo juu nina kiwanja changu nakisukuma kwa bei cheee kipo maeneo ya mbezi msumi kina ukubwa wa 20*23 hatua za miguu ... Njoo pm
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Nauza shamba heka 1, lipo Boko Mnemela-Kibaha. Eneo lipo umbali wa 8km kutoka shirika la elimu kibaha na linafaa kwa ujenzi, ufugaji na kilimo. Halipo mbali sana na barabara inayounganisha Kibaha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza kiwanja kwa bei ya kutupwa milioni 6 kina ukubwa wa hatua za miguu 20 kwa 23 hakuna udalali mim ndo mmiliki wa icho kiwanja kipo mbezi msumi jirani na shule ya sekondari mbopo
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa kiko CHANIKA ukubwa: 978 meter squares (Plot No. 142, kilichowekewa Tiki kulia) kiko kabla hujafika CHANIKA MWISHO kimepimwa na ukikinunua tunakuprocessia na hati. Katika picha...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Vimepimwa na hati zake kamili na malipo ya kodi zote,square meter 600 kila kiwanja.Ni pale lile eneo maarufu kama makazi ya wastaafu. Sababu ya kuuza,shida na hela ya kuendeleza project zangu.bei...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom