Eneo liko Msalato almaarufu kwa mwinyi (Arusha Road) kunakojengwa Dodoma International Airport. Eneo liko barabarani linapakana na hotel ya kitalii ya FANTANCY.....lina ukubwa wa ekari 3.77, Eneo...
Kiwanja kimepimwa ukubwa 1200 mita za mraba
Hati zake zipo
Kipo mita chache kutoka Bagamoyo road
Bei ni Tshs. 30,000,000
Piga/Sms/WhatsApp +225784252741
Kiwanja kipo Salasala Kinzudi Dar es salaam
Ukubwa == Mita za mraba 920
Umbali == Kilomita 4 kutoka Bagamoyo road
Kina hati safi
Bei == Tshs. 27 mil. (Maongezi yapo)
Piga/Sms/WhatsApp...
Vyote vinne viko pamoja kwenye eneo la ukubwa wa Mita 80 kwa Mita 33. Eneo limepimwa na lina hati.
Ukubwa wa kila Kiwanja ni Mita 20 kwa Mita 33.
Bei ya kila Kiwanja ni T.Shs 15,000,000/=...
Jipatie viwanja vilivyopimwa kwa matumizi mbalimbali na kwa bei nafuu sana:-
Viwanja vya makazi - Tshs. 6,500/= kwa sqm
Viwanja vya biashara - Tshs. 12,000/= kwa sqm
Viwanja vya...
Kiwanja kizuri sana kinauzwa kipo Dodoma eneo la Mlimwa “c” wengine wanapenda kupaita kwa Waziri mkuu
Kimejengewa kabisa na msingi.
Bei ni nafuu sana.
Kama utakuwa interested wasiliana nasi...
Kiwanja kinapatikana kinyerezi kwenye barabara ya lami kuelekea SONGAS
Maelezo husika
kiwanja kina sqm 612
Kipo umbali wa meter 800 kutoka barabara kuu ya (Kinyerezi/malamba mawili)
Kiwanjo kipo...
Details:
Title No. 156855
Size: 1602 MSQ
Location: Goba, Kunguru, Near Precious School
Accessibility: Approx 200metres from Goba/Makongo road & Approx 1 Km from Masana-Goba Road (Barabara ya...
habari za leo.
kiwanja kinapatikana buyuni upande ambao kuna kituo cha mafuta cha Sheratoni
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 1,000 ambayo ni 20m upana na 50m urefu.
Eneo bado halijapimwa
Bei ni...
Salaam,
1. Beach plot inapatikana kigamboni, maeneo ya changani beach. (upande wa kushoto baada ya kumaliza avec town)
2. Umbali kutoka ferry Ni km 20 mpaka kwenye plot
3. Kiwanja ni cha tatu...
Salaam
Kiwanja kinapatikana kitunda kituo cha Florida.
MAELEZO
kiwanja kina ukubwa wa meter 27 kwa 24 (sqm 648)
Kiwanja kina msingi tayari.
Kipo umbali wa meter 500 kutoka barabara kuu ya lami...
Habari
Nauza kiwanja, ukubwa hatua 28 kwa 20. Kiwanja kipo Kigamboni jirani na daraja ya mwalimu Nyerere Kigamboni.
Bei ni milioni 18.
Usalama wa kiwanja upo kwani documents zote zipo na hatua...
Simu tajwa hapo juu ina miezi mitatu tu imeingia maji, warranty haifanyi kazi kww case za mishandling gharama za matengenezo naona ni bora ninunuwe simu nyingine, sasa nimeona ni heri nipate nusu...
Viwanja Vipo Goba Kulangwa, njia ya kwenda Madale ( 1 Km kutoka rami mpya ya Kutoka goba Kwenda Madale )
Kuna Kiwanja cha 500sqm, 700sqm, 900sqm, 1200sqm n.k
Bei ni tshs 20,000 Kwa 1Sqm
Sent...
Kiwanja Hiki kimepimwa, mawe yasha wekwa, Hati ndio zinatolewa mwezi Aprili,kwasasa kuna hati za mauziano ya Serikali zamitaa na mkataba wa kisheria wa mauziano.
Kina ukubwa wa 520sqm(Angalia...
Kwa anayehitaji kiwanja kizuri sana. *Prime area* Nyuma ya barabara kubwa ya Mtaa, huitaji hata nguzo ya umeme.
Maji ya Dawasa yako Mita 12.
*NB: kituo cha basi ni Bunju-Mingoi, Njia ya kuelekea...
Habari wana jf, poleni na majukumu.. Nina eneo langu mwasonga, kigamboni lina ukubwa wa ekari 1.5 nimejenga nyumba ya vyumba viwili pamoja na mabanda ya kufugia.hapo awali nilikua nalitumia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.